Rais Samia atoa kauli kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini

Rais Samia atoa kauli kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini

Aseme wapi hayanunuliki,siyo anajibu majibu ambayo ni generic.
 
Hata ukiletewa utabisha maana hatujaanza leo kuzileta hizo figures,ingia google utazikuta.
Mzee unafaidika nn kukomalia uongo? Uganda na Congo wana sababu ya kuuza izo bei, hawana bandari.

Tujifananishe na Kenya ambapo wote tuna bandari, bei ya August 1 ni Tshs 2969, na hiyo ni bei ya Nairobi na sio Mombasa.
 
..wananchi wanataka UNAFUU ktk bei ya mafuta.

..hawahitaji kusikia VISINGIZIO kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta toka kwa Mkuu wa nchi.
 
Back
Top Bottom