ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Bilioni 100 zinaingizwa kwenye mafuta kila mwezi bado maisha ni magumu hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Congo ni Tshs 2,908,Kenya Tshs 2978,Burundi Tshs 3700,Zambia Tshs 3,700,South Africa 3,700,Uganda Tshs 3705,Rwanda Tshs 3,303..... (zote hizi ni bila RUZUKU)na hazina bandari.Hata ukiletewa utabisha maana hatujaanza leo kuzileta hizo figures,ingia google utazikuta.
Ulinunua Kenya unakamatwa Mpakani, waulize Dala Dala za Mbeya Karibu na mpaka wa Zambia kipindi Fulani ulikuwa tafulani!Huyu mama nchi ishamshinda,
Wenzetu kenya petrol 2900 diesel 2600 sjui huyu mama anataka tuende tukanunue kenya au anataka nini.
Jinga sana na hilo jinga lenzakoBora kuwachana watu live kuliko kukaa kimya wanakuja na majibu yao.
Zitakuwa zinapigwa juu kwa juu na wanaoitwa wajanja !! a.k.a Waizi !!Bilioni 100 zinaingizwa kwenye mafuta kila mwezi bado maisha ni magumu hv!!??
Zanzibar ni 2934 huku Tanganyika mijanaume na ndevu zao wamekalia mama anaupiga mwingi,mama anahujumiwa tumekua na wanaume wa ajabu sana.Zanzibar bei ni kiasi gani?
Hizi reasoning ni za watoto wa chekechea.
Kwa hiyo hata ikitokea nchi imeingia kwenye machafuko tufurahie tu kwa kuwa kuna nchi kibao ziko huko.
Shule,Zahanati anajenga za nini sasa ilhali kuna nchi nyingi tu zenye idadi ndogo kuliko sisi.