Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mama Samia ana nia ya kuendeleza 4Rs, pia anapenda utani. Naamini yanayoendelea kwenye utekaji na kwingine kukiuka sheria yanafanywa na watu wanaotaka kumchafua ili achukiwe na Watanzania.
Umesema kweli. Hao watu wanataka tu kumchafua kwa sababu wamewekwa kwenye vyeo vyao na shetani. Na Samia ana akili kama za mtoto mdogo ndiyo maana hawezi kulijua hili.
 
You don't belong to the zoo MUFASA Dizasta Vina
 
Lissu hakawii kutafuta chura akampa jina flani 😌😌
 
Ahamie CCM amuone wizara aiendeshe
 
Chukua maneno yangu, ni suala la muda tu, LISSU atahama CHADEMA, kwa aibu atashindwa kuhamia CCM, ila ataenda ACT na kwa mara ya kwanza ACT itapata zaidi ya vitano vya ubunge JMT kwenye uchaguzi ujao 2025
Hata na mm hii dalili nimeshaiona muda sana, kunaviherehere vingi sana kwa lisu, wala wamemchagia pesa ccm, muda ndo utaongea ngoja tukae kimya.
 
Na kweli ni upekee wa siasa za Tanzania mpaka wakosoaji wanatekwa, wanateswa na kupotezwa!!!

Kweli ni upekee.
 
Ana maana nzuri Tu Simba ni ishara kubwa chanya Afrika yeye anajua contribution ya Tundu Lissu nchi hii,IPO siku hii nchi itakuja kumkumbuka huyu mama na hakuna Raisi amewahi sifika nchi hii hua anaonekana baadae SASA yeye atakuja kukumbukwa zaidi
Kipindi january makamba raisi au mtoto pendwa Bashite.
 
Asiyemkubali Tundu Lisu ni mjinga!

NB: Kuna umuhimu gani wa maonesho ya Simba kufanyika Kizimkazi?
 
Simba ni ishara na alama kubwa sana katika ulimwengu wa roho hili tutajadili mbeleni.πŸ“ŒπŸ”¨πŸ’ͺ🏿
 
Simba ni ishara na alama kubwa sana katika ulimwengu wa roho hili tutajadili mbeleni.πŸ“ŒπŸ”¨πŸ’ͺ🏿
 
Lissu kiboko! Anawewesesha watu
 
Watu huwa wagumu kuelewa huyu mama anamkubali lissu toka zamani na historia ya huyu mama na lissu ni kubwa,hutokaa ukute lissu anamtukana huyu mama yy anaiponda ccm kiufupi hawa watu wanaheshimiana.
 
Safi πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»
 
Ningekoment sema mwanasheria wangu yuko maternity
 
Kwani Rais haruhusiwi kutania ama
Simba anajulikana uwezo wake ila yule alikuwa na hasira anavyozunguka zunguka ndani
Ndio Rais akauliza amekula?
 

Unafungua kesi mbele ya Jaji aliyewekwa na huyo unayemshitaki ?? Kesi ya nyani .........
 
Lucas Mwashambwa sema neno...
 
Kwa wanasheriahatuna dogo,lazima tupate tafsri ya kusheria kuhusu pendekezo hilo
 
Napenda umoja na upendo wa kitaifa. Tujadili masuala ya nchi tukiwa Watanzania tunaotaka nchi ikimbie. Kama hilo ni kosa langu nisamehe.
Nadhani hukuelewa maana yangu.
Nakwambia hivi: CCM ndio wanao imba hizo nyimbo za amani kila mahali; huku wakitumia ujinga huo huo kuwapumbaza akili waTanzania kama wewe. Matendo ya CCM siyo matendo ya amani hata kidogo. Sasa kama bado huelewi, itabidi nichukue muda wa kukuelewesha uhuni wa CCM kwa waTanzania.
CCM sasa hivi hawapendi amani, kwa sababu wanajuwa kukiwa na amani wataondolewa madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…