Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kazi kwisha kabisa
 
Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan anamkubali sana Tundu Lissu ni vile tu anashindwa namna ya kumuingilia maana uwezo binafsi wa Lissu ni zaidi ya baraza lake la Mawaziri..
Kweli kabisa ongezea kuwa ccm yote ikiunganizha akili ndio wamfikie Lissu🀣🀣
 
Ana maana nzuri Tu Simba ni ishara kubwa chanya Afrika yeye anajua contribution ya Tundu Lissu nchi hii,IPO siku hii nchi itakuja kumkumbuka huyu mama na hakuna Raisi amewahi sifika nchi hii hua anaonekana baadae SASA yeye atakuja kukumbukwa zaidi
Kwa kipi sasa? Kumuita lissu Simba?
 
Simba ni ishara kubwa sana katika ulimwengu wa roho...hata Yesu tunamwita Simba wa Yuda!! Huyu bibi panic zake zitamponza!! Yawezekana katamka bila kujijua ila ardhi imeandika....

Yeye alijiita chui leo kampa usimba Lissu upo?
Uko sawa kwa 100%
 
Ninyi ndio mnaofanya siasa kuwa ni ugomvi,mama wa watu hapo kaleta utani wakirafiki kabisa Ila ninyi machawa roho inawauma mnataka kuketa sifa zenu za kijinga.
Mkuki kwa nguruwe

Pale ni fasihi tu imetumika na mwenye maana halisi ya jina ni fanani ambaye ni SSH

TUTULIE TU NA TUPOKEE FASIHI BILA MAWENGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…