PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid El Fitri Mbeya kwa watoto wenye uhitaji maalum

PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid El Fitri Mbeya kwa watoto wenye uhitaji maalum

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mkuu wa mkoa wa Mbeya amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mkono wa Eid El Fitri kwa watoto wenye uhitaji maalum kwenye makao ya watoto 23 mkoani humo,

Bidhaa mbalimbali zimetolewa ikiwemo mchele, unga, mbuzi, mafuta ya kupikia na vinywaji mbalimbali.

 
Back
Top Bottom