Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 5,001

Jamaa alikuwa na uwezo wa kuvamia birthday ya mtoto halafu akachukua mic watu wamuone yeye wamuimbie yeye happy birthday.

Yani mpaka kanisani alikuwa anashindwa kujizuia nyege zake za mic!
Hahahhaahhaaahahahhaaha aisee ww jamaa unahitajika kulee vunja mbavu
 
Magufuli ni rais aliyeitukanisha Tanzania kuliko rais mwingine yeyote, bisha twende blow by blow kwa data hapa.

Bisha.
 
Ufisadi ulio fanywa na mwendazake ndani ya miaka yake mitano ya Utawala ulikuwa Ni mkubwa maradufu ya ufisadi ulio fanyika kuanzia wakati wa nyerere Hadi jk..
 
Mkuu upo sahihi. Kuna watu wanateseka sana na kesi ambazo hata hazieleweki. Alichofanya mama ni sawa ila wajaribu kuwafikiria na hili kundi la "upelelezi haujakamilka" na bado wapo ndani na hata dhamana wamenyimwa huku familia zao zikiumia bila sababu. Wengine kesi zinacheleweshwa hadi kero ila wape pesa tu uone kesi yako itavyowaishwa.

Serikali ijaribu kutazama na huku pia, haya mambo yanaboa na ndiyo mwanzo wa visasi.
 
Babu Jinga lilijiona liko so special haliwezi kupata madhara.

Sayansi ya magonjwa ikamwambia haijali kama yeye ni rais au kapuku.

Ikampigilia daflao, akatutoka kimoja kabakia historia tu.

Kwa ubishi wake wa kijinga.

Na mpaka leo kuna wafuasi wake wanaendekeza ubishi wa kijinga.
 
Sasa mbona unamuwaza hadi unaota?

Hata mkigegedewa wake zenu kwa ujinga wenu mtasingizia Magufuli.

Mataahira kabisa nyie
Nimeona post nikajibu.

Wewe mke wako aliyekugegedea si mimi, usiniletee hasira zako za wivu.

Magufuli analiwa na funza kwa ushamba na uroho wa madaraka wake mwenyewe.

Sisi tunasema ukweli tu kwamba alikuwa Babu Jinga.
 
Wewe mpaka nikwambie nilimbikiri Bibi yako mzaa mama ndiyo utaleta heshima hapa?

Sio mbaya utakua Babu yangu sasa ubaya uko wapi? Au wewe bibi yako mzaa mama hakubikiriwa?
 

Mkuu Kiranga kumbe ulikuwa mkatoliki? Ulisali na Nyerere? Ikawaje ukaanza kuamini kuwa hakuna Mungu?
 
Mkuu Kiranga kumbe ulikuwa mkatoliki? Ulisali na Nyerere? Ikawaje ukaanza kuamini kuwa hakuna Mungu?
Mimi nimesali makanisa karibu yote na nimeingia mpaka msikitini na kwenye ma temple, hivyo kusali na Nyerere kusikupe fikira kwamba nilikuwa Mkatoliki.

Nishamaliza makanisa karibu yote kusali.

Ukisema nimeanza kuamini kwamba hakuna Mungu ni sawa na kusema kipara ni style ya kusuka nywele.

Nimeacha kuamini kuwepo Mungu, sijaanza kuamini kuwa hakuna Mungu.

Zaidi, sitaki kuamini, nataka kujua.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Unaweza kueleza kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea wala kufikirika?
 
Bila Shaka Watafata Mdude Nyangari na uamsho wenye kesi za kubambikiwa.
 
Hili nalo linafikirisha Kwamba Mungu anawaacha madikiteta kama magufuli wanaitesa nchi kwa miaka mitano. Huko sudani, somalia, syria na afighanistan Mungu anaruhusu watu wachache kuwafanya wengi kuishi jehanam kabla ya kiyama. Huyo Mungu ni wa ajabu sana
 
Mungu anawabania watu wasijue dawa nzuri na rahisi ya magonjwa ya bacteria kwa maelfu na maelfu ya miaka, watu wengi sana wanakufa kwa vidonda vidogo tu kwa kukosa dawa ya bacteria.

Na kabla ya hapo watu wamekufa sana kwa kunywa maji machafu bila kujua kwamba yanaleta ugonjwa.

Halafu mwaka 1928 kwa bahati tu watu wanagundua antibiotic ya penicillin. Inakuwa rahisi sana kuponya magonjwa ya bacteria.

Yani huyu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo kweli? Mbona mkatili hivyo?
 
Jamaa alikuwa na uwezo wa kuvamia birthday ya mtoto halafu akachukua mic watu wamuone yeye wamuimbie yeye happy birthday.

Yani mpaka kanisani alikuwa anashindwa kujizuia nyege zake za mic!
Yaani alikua MDEMUKA si kidogo.
 
kiranga katika ubora wako aminia sana mkuu.
 
Uamsho hawajaachiwa?

Au wanaachiwa wagonjwa tu?
Huu msamaha unawahusu wafungwa, sio mahabusu ambao kesi zao zipo kwenye upelelezi na mahabusu ambao kesi zao zinendelea mahakamani, basi UAMSHO WAO SIO WAFUNGWA ni mahabusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…