Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

Hakuna cha ajabu hapo. Hiyo heshima kapewa Mzee Malecela.

Kashika nyadhifa nyingi hapa nchi, kumfariji kwa hivyo hakuna ubaya wowote. Japo uliandika kama vile ni jambo la ajabu sana.
Kifupi Malecela ni mwanasiasa aliyeshika vyeo vyote Tanzania isipokua kimoja tu cha urais. Na ni mwanasiasa aliyeitembelea Tanzania kijiji kwa kijiji Tanzania nzima enzi hizo. Kashika cheo cha kuanzia level ya kijiji, kata, dc,rc,mp,pm,vc.
 
Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma.

Ndege hiyo itabeba watu takribani 70 ikiwa ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kuwatoa Dar na kuwapeleka Dodoma kwa ajili ya mazishi.
Hizo ndege mama yenu amezitoa kwa mjomba wake huko Omani au ni ndege zetu wananchi tulio zinunua kwa kodi zetu?
Kama ni ndege zetu basi yeye hana uwezo wa kuzitoa ni serikali tuu imetoa. Tuache uzuzu na kutukuza watu kwa sifa wasizo stahili.
 
Back
Top Bottom