Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

Afadhali kula bata duniani kuliko upigike duniani na ukifa ukachomwe moto vile vile.
Mimi nadhani yule anayekula bata hapa duniani kisha akifa tunamwambia rest in peace sio sahihi maana raha zote alizokuwa nazo ndio zimefikia mwisho wake ! Ila yule aliyekuwa akipigika hapa duniani ni sahihi kumwambia rest in peace maana suluba zake zote ndio zimefikia mwisho wake siku hiyo !
 
Umejawa chuki hasira na sonona. Siyo lazima ukielewe. Sipo hapa kusifia wafu.
Mm ni mtanzania, mpenda haki na amani.
Napenda viongozi bora wanaofuata sheria.
Sio muumini wa maendeleo vitu wala wenye mabavu
Ni muumini wa taasisi imara siyo watu imara.
Hata usiponielewa huo ndiyo msimamo wangu

Msimamo wa kiboya sana. Hicho kitabu hadi utachambia jicho lako. Hata bure watu hawachukui
 
John Malecela sio mtu mdogo Tz
Kwa kuongezea kwa vijana wetu wa dot com

Baadhi ya nyadhifa alizowahi kuhudumu ni John Malecela;

1. Mbunge: Malecela alitumikia kama mbunge kwa miaka 18 katika jimbo la Hai kwa vipindi tofauti kuanzia mwaka 1975 hadi 1993.

2. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi): Mwaka 1993 hadi 1995.

3. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi mwaka 1995 hadi 2000.

4. Spika wa Bunge la Tanzania kuanzia mwaka 2000 hadi 2005.

5. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) tangu mwaka 1996.

6. Rais wa Bunge la Afrika kuanzia mwaka 2004 hadi 2005.

7. Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa kuanzia mwaka 2016 hadi 2021.

8. Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya CCM mwaka 2017.

9. Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwaka 2011 hadi 2014.

Haya ni baadhi tu ya nyadhifa alizozishika John Malecela katika maisha yake ya kisiasa na uongozi.
 
Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma.

Ndege hiyo itabeba watu takribani 70 ikiwa ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kuwatoa Dar na kuwapeleka Dodoma kwa ajili ya mazishi.
Rais amefanya jambo zuri sana; Mungu ambariki.
 
Mimi nadhani yule anayekula bata hapa duniani kisha akifa tunamwambia rest in peace sio sahihi maana raha zote alizokuwa nazo ndio zimefikia mwisho wake ! Ila yule aliyekuwa akipigika hapa duniani ni sahihi kumwambia rest in peace maana suluba zake zote ndio zimefikia mwisho wake siku hiyo !
Hata starehe nyingine ni mateso tu. Rest in peace itafaa kwao pia😀
 
Wengi hawajui mana hawatafuti maarifa wanakimbiloa uchawa..fikiria mtu ana lalamikia kitabu kinachomjadili kiongozi fulani bila hata kukosoma? Ukimuliza atakwambia ana masters ni viroja juu ya viroja. Yaani ukimprnda mtu asiandikwe au anayetoa opinion tofauti na wewe unamtukana! Hiyo ndiyo Tanzania
A0E78E6D-250E-4C70-9899-2ED76D103059.jpeg
 
Back
Top Bottom