Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma.

Ndege hiyo itabeba watu takribani 70 ikiwa ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kuwatoa Dar na kuwapeleka Dodoma kwa ajili ya mazishi.
Ifike wakatii uwekwe utaratibu kabisa wa nini cha kufanya, inapo tokea jambo kama hili na utaratibu huo utumike hata na watawala wajao, Nchi inaendeshwa kwa show off sana
 
Tatizo la wachangiaji wengi wa JF kwa sasa wana umri mdogo.

Upeo wao wa uongozi wa Tanzania unaanzia awamu ya pili ya Mkapa (2000+)
Yeyote aliyepita nyuma ya hapo hawamjui.

Ukitaja viongozi wanamjua Kikwete na kaumu yake.
Jonh Malecela tunamjua, na lemtuz ndo nani katika mtiririko wa viongozi wa nchi hii?

Historia kuwahusu viongozi wa Tz, Je, itahusisha watoto pia wa viongozi na ama viongozi kama viongozi?

Tunaipongeza serikali kwa jambo hili zuri la kutoa ndege kupeleka waombolezaji Dodoma kwa mzee wetu Malecela,

ila ifahamike kuwa, watoto wa viongozi ni watoto tu na sio kweli kwamba nao wanaapia katika nafasi za kiuongozi kwa sababu tu baba zao walikuwa viongozi!

Serikali ikiamua kufanya hivyo itafanya kwa wangapi? Ni upendo tu wa kiongozi aliyepo kuamua kufanya hivyo
 
Niko naangalia kwenye tv hapa naona CCM wameugeuza kuwa msiba wa Chama. Takataka zao za kijani zipo Kila mahali
 
Back
Top Bottom