Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,290
- 4,623
Kodi zenu wewe na nani?Hiyo ndege ni yake au ni kodi zetu walalahoi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kodi zenu wewe na nani?Hiyo ndege ni yake au ni kodi zetu walalahoi?
IndiaTunapita kwenda wapi
Wafanyabiashara KkooKodi zenu wewe na nani?
Sasa subiri na wewe kesho upite uende huko india.India
Sio jambo la ajabu, unazaliwa halafu unakufa, kwa hiyo twanga Konyagi kiasi uko hai ukifa hunywi tena.
Poleni sana,hakuna namnaWafanyabiashara Kkoo
Mi nitachomwa moto na majivu yangu watapewa nduguSasa subiri na wewe kesho upite uende huko india.
Malecela ni kiongozi mkubwa na alishawahi kuongoza idara nyingi tu hapa tz ,ikiwemo umakamu wa rais ,a chilia mbali hizo nyazifa .huyu si mtu mdogo kabisaaa!!! Hiyo ndege imerolewa kwa kumshika mkono kachero mbobezi no. 1 ,mzee malecelaHuyu mama analitia taifa hasara
Shauri yako, We are talking about spirit not physical body. Hilo li housing lako in form of majivu yaani (uchafu au mabaki) ndio watapewa ndugu zako hapo ni sawa na kutunza dustbin ndani. Ila shuluba ya roho iko pale pale.Mi nitachomwa moto na majivu yangu watapewa ndugu
Kunywa bia uondoe huzuni kama mimi.Sijashangaa ila Nina huzuni
You sure don't want to end up in hell. You definitely don't want to be cast out of the presence of God.Afadhali kula bata duniani kuliko upigike duniani na ukifa ukachomwe moto vile vile.
Hujielewi wewe.bibilia iliandikwa yesu akiwa hai?Won't make the difference. Alipokuwa hai mikia mliikalia saizi mnapambana na kaburi nyie waandishi uchwara. Maandishi yenu ni masimango kwa watanzania.
Unaweza kula bata na ukatenda mema vile vile.You sure don't want to end up in hell. You definitely don't want to be cast out of the presence of God.
Please think about it again!
Kila mtu na imani yake mkuuShauri yako, We are talking about spirit not physical body. Hilo li housing lako in form of majivu yaani (uchafu au mabaki) ndio watapewa ndugu zako hapo ni sawa na kutunza dustbin ndani. Ila shuluba ya roho iko pale pale.
John Malecela ni kiongozi aliyejitoa kwa taifa ni asara zaidi Rais asipoonesha utu kwa mtu aliyewahi kujitoa kwa ajili ya taifa!Huyu mama analitia taifa hasara
Kutenda mema peke yake haitoshi. Unahitaji msamaha wa Mungu na Imani yako kwake tu basi.Unaweza kula bata na ukatenda mema vile vile.
Tuko pamoja mkuu, usijali.Kila mtu na imani yake mkuu