Kwani wale wanachama wa upinzani waliouwawa bure, kutekwa au wanaobambikiwa na polisi kesi za uongo za uhujumu uchumi, ugaidi wao si watanzania? sio ndugu zetu? hawana mioyo, au hawana damu?? Au ndo mkuki kwa nguruwe....?Ni mawazo yako ya kijinga tu
Ila huwezi kufurahi polisi kuuliwa/
Polisi ni mtanzania mwenzako anaweza kuwa baba ako,binamu,mjomba au hata rafiki yako.
Jaribu kuwa na akili japo ndogo yakufikiria police hawatoki nje ya tanzania ni hawa hawa ndugu Zetu
Mnatafuta Kila upenyo muweke agenda zenu
Huo unafiki... Utaolewa....Tukio hili linanirejesha kwa kilichomtokea Tundu Lissu.
Nani aliondoa ulinzi area D? Walinzi wangekuwepo bila shaka wangepambana na magaidi waliomshambulia Lissu.
Kwani Lissu mwenyewe anasemaje..serikali itoe majibu ni nani alitoa maelekezo walinzi waondolewe area D siku ambayo Lissu alishambuliwa.
Kuandika kwa kiswahili badala ya kizungu ni kutojua?? Chuki Ina vipengele vingi!!!Huyo Mama hajui kuwa lile daraja haliitwi Salenda bali ni Selander
Wamezoea kuangalia movie za action na ndio matatizo yake nimeona wengine wakishangilia!Binafsi najiuliza ujasiri na zaidi utulivu wa hao raia waliorekodi hili tukio.
Unaona sasa [emoji23][emoji23]Naona unafanya utani na risasi ww, kanda ya Ziwa ndio wamezoea risasi? Hivi ukiwa unaandika unajitoa ufahamu n kuonyesha how poor minded you are, tatizo practically hujui hata maana ya risasi.
Eneo hilo lina cctv kamera pia hivyo siyo shida kupata video za tukio .Binafsi najiuliza ujasiri na zaidi utulivu wa hao raia waliorekodi hili tukio.
Wengi waliorekodi walikuwa kwenye magorofa ya jirani na eneo la tukio hawakuwa chini na hawakuwa wakionekana na huyo bazaziBinafsi najiuliza ujasiri na zaidi utulivu wa hao raia waliorekodi hili tukio.
Kabisa 😁Kwahiyo manjagu walikuwa field, alafu wamefeli au siyo.
Ni gharama kubwa kulifanya jeshi la polisi kuwa la kisasa.Mfumo wa jeshi la police inabid liende kisasa.
Kwani Lissu mwenyewe anasemaje
Hivi hapakuwa na majibizano Toka kwa walinzi area D na vyombo vya usalama tukio la Lissu???!!!Tukio hili linanirejesha kwa kilichomtokea Tundu Lissu.
Nani aliondoa ulinzi area D? Walinzi wangekuwepo bila shaka wangepambana na magaidi waliomshambulia Lissu.
Anayetuhumu ndiyo athibitishe...arudi kutoa maelezo upelelezi uendelee..anasema walinzi waliondolewa.
..sasa serikali inatakiwa imkamate aliyeondoa walinzi.
..na kupitia huyo wawatambue wahusika wengine wa ugaidi ule.
Anayetuhumu ndiyo athibitishe...arudi kutoa maelezo upelelezi uendelee
Selander ni jina la mtu. Jina halibadirishwi.Kwa hiyo litamkwe kizungu?
Watanzania wengi tu tumezoea kuita Salenda....kwani wewe "carrier call" hukuiti KARIAKOO?!!!
#KaziIendelee
#SiempreJMT