Nani aliondoa ulinzi? Nani anatuhumu ulinzi kuondolewa?..kwenye tukio lile Polisi / Jamhuri ndio wenye wajibu na mamlaka ya kutuhumu mahakamani.
..Polisi wanatakiwa wamkamate aliyeondoa ulinzi na wengine alioshirikiana nao kuwezesha tukio lile la ugaidi.
..Lissu ataitwa mahakamani kama mhanga wa tukio na shahidi wa serikali / jamhuri ktk shauri husika.
Bila shaka itakuwa edit.Vipi hiyo kadi inayoonyesha uanachama wa CHADEMA, umefuatilia kupata ukweli wake?
Na hizo sare za CCM nazo vipi?Bila shaka itakuwa edit.
Nani aliondoa ulinzi? Nani anatuhumu ulinzi kuondolewa?
Victim aache longo longo arudi kuandika maelezo na kusaidia upelelezi..aliyeshambuliwa ndio amesema walinzi hawakuwepo.
..kwa hiyo polisi wanatakiwa kuwahoji waliokuwa na majukumu ya kuweka ulinzi eneo la tukio.
..polisi, au jamhuri, watakapokuwa wanajenga kesi mahakamani, watamtumia Lissu kama shahidi dhidi ya aliyeondoa walinzi, aliyemtuma kuondoa walinzi, pamoja na washambuliaji.
..Lissu, kama victim wa tukio, ndiye shahidi muhimu, na anayeaminika kuliko wote, ikiwa suala lake litafika mahakamani.
Victim aache longo longo arudi kuandika maelezo na kusaidia upelelezi
Nchi iko salama arudi tu..victim wa tukio la kigaidi kama lile ni lazima apewe ulinzi ili aweze kujitokeza kutoa ushahidi wakati wa uchunguzi, na wakati shauri liko mahakamani.
..sio jambo la kawaida, na inashangaza, Polisi kukataa kumhakikishia ulinzi shahidi muhimu kama Tundu Lissu. Hali hiyo inajenga hisia kwamba Polisi hawataki kuchunguza, au kuna nguvu kubwa inawashinikiza wasichunguze.
Nchi iko salama arudi tu
Alikuja akafanya kampeni za urais akaondik kurudi ambako sasa amezoea kuishi๐๐๐๐..nchi iko salama hilo halina ubishi.
..Lissu hayuko salama hilo halina ubishi pia.
..angekuwa salama asingeshambuliwa kinyama namna ile.
Alikuja akafanya kampeni za urais akaondik kurudi ambako sasa amezoea kuishi๐๐๐๐
Wafe wote nchi nzima fresh tuKwa tabia za polisi tz am sure kuna wengi wamefurahi