Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole kwa Mchungaji Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka uangaze.kufuatia kifo cha Msaidizi wake Mkuu Jonathan Togolai.
Watanzania wenzangu Ndio Maana nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia ni Mfariji wa Taifa.hana Makuu Mama wa watu,hana Majivuno wala dharau wala kujisikia .yupo na wananchi wake karibu na kumfariji kila mtu. Ni mama Mwenye huruma sana na mwenye kuguswa na matatizo ya watu na aliyetayari kumfikia mtu yeyote yule kwa mkono wake.
Ni Mama ambaye anafuatilia Maisha ya watanzania kila iitwapo leo na kutaka kujuwa watu wanaishije na nini afanye kusaidia au kuwawezesha watu.kwa hakika tuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono Rais wetu Mpendwa na kumuombea Maisha Marefu yenye afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.