Rais Samia atoa Salamu za Pole kwa Boniface Mwamposa Kufuatia Kifo cha Msaidizi wake Mkuu

Akumbuke pia kuwapa pole na wale wahanga wa ajali zinazotokea kula siku nchini kwa sababu ya uzembe wa madereva, rushwa, na pia ubovu wa barabaraba!

Halafu huyo Mwamposa alishindwaje kumponya huyo msaidizi wake mkuu kwa kumpa yale maji yake ya upako, mafuta ya upako, udongo wa upako, nk!!

Nadhani watu wenye akili timamu mna kitu cha kujifunza hapa. Utapeli kwa watu wajinga, siyo poa hata kidogo. Ifikie wakati tuwasaidie waache kuibiwa na hawa wajasiriamali aina ya Boniface Mwamposa.
 
Haifai kuvurumishianeni matusi. Katoa rambi rambi tatizo ni nini? Toa zako au nyamaza.
Hizo rambirambi angezipeleka kanisani kwake au angemtumia kwenye email yake, kuileta kwenye public platform ni kufufanya wote sàwa na misikule yake.
 
ila leo umetuangusha sana wadau mbona sijaona machozi na kugaragara
 
Hakika kuwa muislamu mara zote lazima uepuke kutamka kufuru angalia huyo samia kakwepa kumuita Mwamposa kama Mtume na Nabii
 
KWasababu aliwaambia waumini wake wachague CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…