Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Nipo sana hapa mkuuSawa ngoja waje wadadisi usiondoke!
Unaumia nini?Sema tena ni Samia ametoa au ni serikali
Serikali imetoa au mama yako ndiye katoa?.Nipo sana hapa mkuu
Samia ni trilionea,ana hela nyingi sana.Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma...
Serikali ya nani? Who is leading itSerikali imetoa au mama yako ndiye katoa?.
Maana nowdays ajenda yenu haina muelekeo kupata nguvu!.
Ukweli ndio huo CHADOMO basi tenaSawa ngoja waje wadadisi usiondoke!
Kaziiendelee Mama yetuRais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi...
Zitaendelea tu, Hii ni awamu ya Sita mkuuAmetoa 300B sio na ajira! Hizo ajira ziendelee hata baada ya Majengo kukamilika basi