Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Zitaendelea tu, Hii ni awamu ya Sita mkuuAmetoa 300B sio na ajira! Hizo ajira ziendelee hata baada ya Majengo kukamilika basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitaendelea tu, Hii ni awamu ya Sita mkuuAmetoa 300B sio na ajira! Hizo ajira ziendelee hata baada ya Majengo kukamilika basi
Yaani hizi taarifa zina ukakasi mnoo. Kwani hela za maendeleo hutolewa na rais au huidhinishwa na bunge?? Mna tuletea mambo ya mwenda kuzimu hapa??Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.
Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.
Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.
Source : UTV Habari
Kwani shida iko wapi?Yaani hizi taarifa zina ukakasi mnoo. Kwani hela za maendeleo hutolewa na rais au huidhinishwa na bunge?? Mna tuletea mambo ya mwenda kuzimu hapa??
Sawa Chawa wa mamaZitaendelea tu, Hii ni awamu ya Sita mkuu
Hahaha mimi Chawa kama ChawaSawa Chawa wa mama
Rais ni taasisiNi kukosa akili au uelewa mdogo kusema kuwa Rais ametoa hela.
Ukisikia tu kiongozi anasema Rais ametoa hela, huyo mtu:
1) Huenda ana akili ndogo kiasi cha kutotambua kuwa Rais hana hela ya kuendesha Serikali wala ya kutekeleza miradi ya umma.
2) Huenda huyo mtu hana weledi, na kwa sababu hana kitu chochote kichwani wala kiutendaji cha Mh. Rais kuendelea kumwamini, anaamua kuwa mnafiki na kuamua kumvika Rais mamlaka na uwezo ambao hana.
Kama viongpzi wetu wangekuwa na hekima, pale wanaposikia sifa za kijinga au wanapoona watu wanawavika mamlaka au utukufu ambao, kama Rais, hawezi kuwa nao, walistahili kuwafukuza kazi watu hao mara moja.
safi sana, wacha jiji la Dodoma lijengwe.Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.
Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.
Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.
Source : UTV Habari
Sipendi kabisa lugha hii ya "Rais Samia ametoa pesa" Pesa inatolewa na serikali na si Rais.Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.
Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.
Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.
Source : UTV Habari
Msiendekeze mambo yasiyo na majibu magumu yawe mepesi..!Serikali ya nani? Who is leading it
Wewe unataka Majengo au nani Katoa?Sema tena ni Samia ametoa au ni serikali
Lugha hii ya Rais ametoa, mara nyingi hutumiwa na watu wanafiki kwaajili ya kuwapumbaza wajinga, na kumlewesha Rais kwa maneno ya hila.Sipendi kabisa lugha hii ya "Rais Samia ametoa pesa" Pesa inatolewa na serikali na si Rais.