Nilidhani hujui ni makosa kumilikisha fedha za wananchi kwa mtu mmoja na mbaya zaidi unasahau utendaji wa wasaidizi wake wote na kumpa mtu mmoja , kumbe umefanya makusudi kupotosha
watu wa aina yenu si watu wazuri mnaua morali ya wananchi na watendaji wa serikali
Mnaondoa team work
Mnapunguza uzalendo wa kila mtu kwenye nafasi yake
Rais ni mwakilishi wetu na tunamlipa kwa kodi zetu
Anastahili kuheshimiwa sio kupewa utukufu
Ndo maana watu wengine wanawaji bika kwa ajili rais badala ya taifa lao na nchi, wanasahau rais anapita bali nchi na taifa linadumu
Mnapata faida gani kuharibu morali ya taifa na umoja wa kitaifa
Historia ya nchi itawahukumu kama wengine wanavyopata hukumu zao kwa kumtegemea mwanadamu,