Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Ana hela nyingi sana huyo bibi. Sasa kwa nini anaomba omba hela za covid?
 
Wakati ndugu James Mbatia anaendelea kuropoka ,Serikali adhimu ya mh.SSH inaendeleza kazi iliyowashinda tawala nyingi nyuma juu ya kulijenga jiji la Dodoma.. ...

#Kazi Inaendelea kwa Kasi & Weledi zaidi 💪View attachment 2030850
Mbona serikali imerudi Dsm kitambo! Shida uko Denmark, kuna vitu huvioni.
 
Nchi ya ajabu hii rais anatoa wapi pesa?
Sema serikali imetoa pesa na sio raisi Samia, tuachane na hu ujinga. Tulipe Kodi sisi sifa apewe mwingine!!!
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,

Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.

Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.

Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.

Source : UTV Habari
Good Mama,
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,

Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.

Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.

Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.

Source : UTV Habari
Tanzania imara,Moto Fire
 
Samia katoa au serikali imetoa?!Comments zingine za ajabu sana.Hii sio hela yake binafsi mkuu.
 
Back
Top Bottom