Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
- Thread starter
- #81
Nani aliomba huo mkopo?Chawa bwanaaa, pesa ya umma anaita ya rais daah... Yaani hata mkopo wa WB kwa ajili ya covid nayo wanasema mama katoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani aliomba huo mkopo?Chawa bwanaaa, pesa ya umma anaita ya rais daah... Yaani hata mkopo wa WB kwa ajili ya covid nayo wanasema mama katoa.
Taasisi ya rais haitangazi jina lake binafsi bila kutaja dhamana ya serikali anayoitumikia kupitia wajibu ulioainishwa kwenye katiba ya nchiRais ni taasisi elewa mkuu
Unazunguka hapohapo,Jadili bila bias utaona logic hapoTaasisi ya rais haitangazi jina lake binafsi bila kutaja dhamana ya serikali anayoitumikia kupitia wajibu ulioainishwa kwenye katiba ya nchi
Anapashwa kujua yeye au CAG?Naona Hangaya anamwaga tu pesa alafu Wala hajali kujua hizo fedha zimetumikaje, bure kabisa awamu ya wapigaji
Kwan huyo CAG akishakagua anampelekea nani report? Report iliyopita ya CAG iliishia wapi kuhusu wapigaji?Anapashwa kujua yeye au CAG?
Wale walikuwa wahayati mkuu, Subiri tuone Rpoti hiiKwan huyo CAG akishakagua anampelekea nani report? Report iliyopita ya CAG iliishia wapi kuhusu wapigaji?
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.
Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.
Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.
Source : UTV Habari
KhaaaaSawa ngoja waje wadadisi usiondoke!
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.
Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.
Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.
Source : UTV Habari
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzaniaRais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.
Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.
Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.
Source : UTV Habari
#Tanzania kaziiendeleeRais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.
Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.
Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.
Source : UTV Habari
Kwani shida iko wapi?
Mkuu Unaumia mama kupewa sifa au?
Kwani shida iko wapi?
Kaziiendelee Mama chapa kazi
RAIS NI TAASISIYaani hizi taarifa zina ukakasi mnoo. Kwani hela za maendeleo hutolewa na rais au huidhinishwa na bunge?? Mna tuletea mambo ya mwenda kuzimu hapa??
DaaahFamilia yake itakuwa tajiri mabilionea wa dolla,mumewe atakuwa ni mwanaviwanda Kyle marekani alikuwa anakaa kabla ya Mrs kukwaa urais