Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

Don't judge me, tujadili content, Inawezekana Rais kutoa pesa? Tujadili hili kama Watu wenye akili
Samia Suluhu Hassan hawezi ni kweli,

ILA

Rais Samia Suluhu Hassan ni taasisi, Hii inafanya kwa niaba ya wananchi
 
Samia Suluhu Hassan hawezi ni kweli...
Hapana, unaujua ukweli jinsi nchi Inavyofanya kazi. Rais ni overall na hawezi kamwe kutoa pesa Tena kiasi kikubwa hivyo bila kupitia kwenye mhimili husika
 
Unajua ni Ilani ya CCM ndio imetamka Dodoma kuwa makao Makuu Rasmi,

Aliyewaambia wananchi hizi habari ni Mgombea wa CCM na wao wakamwamini wakampa ridhaa,

Wewe kwanini unasita tusisema Rais Kafanya wakati ndie aliyeahidi,
 
Unataka tubishane au unataka tuelimishane? Are you serious kabisa kutamka kitu kama hiki?
 
Ukisoma hii michango inayohusu hii mada unafikia kuona wazi kuwa Elimu inayotolewa nchini ina mapungufu.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,

Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.

Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.

Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.

Source : UTV Habari
Kaziiendelee Tanzania
 
Naombeni ufafanuzi kwani awamu ya 5 na hii 6 kuna upotoshaji mkubwa huwa unafanywa;
Ni raisi katoa au ni serikali imetoa
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,

Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.

Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.

Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.

Source : UTV Habari
Katoa kutoka kwenye mfuko wa hazina yake binafsi au ni wajibu wa serikali?

Mnapaka rangi asiyostahiki
 
Back
Top Bottom