Rais Samia atoa TZS 35BL Ujenzi wa Musoma Airport kumuenzi Baba wa Taifa

Hii! Kumbe raisi Samia ni tajiri sana.
 
Tanzania kama speed ni hii basi mpaka 2030 huenda Tanzania ndio ikawa nchi yenye Uchumi mkubwa Africa,Tumwombe sana Mungu wetu katika hili
 
Hapana sipo Musoma mkuu wangu,
Kama haupo musoma basi hiyo ndiyo moja ya taarifa inayonuka ufisadi na watu wanajifanya wema huku nje ila ndani walitakiwa kuwa chini ya utawala wenye mabavu ili watende HAKI kwa wananchi wanao waongoza.
 
Kaziiendelee Tanzania
 
Kwenye Mshahara wake au hizi ametoa kwenye Savings zake
 
Tunazidi kufeli kila kukicha yaani Kuna shule hazina madarasa halafu tuna kazi ya kuenziana tu kweli Kama tz tumelogwa mchawi wetu yupo karibu Sana na sisi kuhakikisha hatufurukuti
Damu za wanyonge mlizozimwaga Zanzibar kwenye uvamizi na wakati wa kila uchaguzi zinawatafuna , hamtoki katu mpaka mkubali makosa yenu na muombe radhi na kuiwachia Zanzibar
 
Pesa imetoa serikali siyo zake
 
Ni vizuri but kuna abiria wa kushawishi ndege kuja huko? Isije kuwa kama Chato airport.
 
Damu za wanyonge mlizozimwaga Zanzibar kwenye uvamizi na wakati wa kila uchaguzi zinawatafuna , hamtoki katu mpaka mkubali makosa yenu na muombe radhi na kuiwachia Zanzibar
Katiba mpya na Bora ndiyo itaweza kuwa mkombozi wa kila kitu bila hiyo basi chozi la mnyonge litabaki kuwa Kama chozi la samaki kupotelea majini
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
Hamna mtu anaye pandisha bei kiholela. Hao viongozi akiwemo huyo rais ndio walio sababisha mfumuko wa bei.

Vitu vingine tumia akili, usiwe mpumbavu.
 
Katiba mpya na Bora ndiyo itaweza kuwa mkombozi wa kila kitu bila hiyo basi chozi la mnyonge litabaki kuwa Kama chozi la samaki kupotelea majini
Zanzibar haihitaji katiba mpya , inahitaji UHURU wake ulioporwa Na Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…