Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Hakika hakuna Kama Rais SamiaKuna mtu alipata Urais akakimbilia kujenga uwanja kwao duuuh,
Hongera mama kuwaenzi wazee wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika hakuna Kama Rais SamiaKuna mtu alipata Urais akakimbilia kujenga uwanja kwao duuuh,
Hongera mama kuwaenzi wazee wetu
Kama kuna wakati Tanzania inaweza kujivuna kuwa na Rais Makini basi ni huu,RAIS SAMIA SULUHU ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA NDEGE WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI BABA WA TAIFA KWA VITENDO
Huu ni muonekano wa baadhi ya vifaa vya ujenzi vya mkandarasi Beijing kutoka nchini China ambavyo vinatarajiwa kutumika katika kazi za maboresho ya uwanja wa ndege wa Musoma sehemu aliyozaliwa muasisi wa Taifa hili.![]()
Serikali ya Rais Samia Suluhu imesema inatarajia kutumia kiasi cha TZS 35BL ili kuboresha uwanja wa ndege wa Musoma,
Maboresho hayo ni pamoja na kuweka lami na kuongeza urefu wa uwanja huo ili kuruhusu ndege kubwa na ndogo kuweza kutua.
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Khalfani Haule, amesema kuwa mradi huo ukikamilika utarahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kwa wananchi wa Musoma na pia kuchochea biashara ya utalii kupitia Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ambayo ipo mkoani humo.
Ameongeza kuwa Uongozi wa Wilaya tayari umejipanga kwa kuupokea mradi huo na wameahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa Mkandarasi huyo kwa kumpatia eneo la kuchimba mchanga na kokoto za ujenzi.
Naye, Meneja wa Uwanja wa ndege wa Musoma, Mohammed Bakari, amesema kuwa uwanja huo utajengwa na Kampuni ya kikandarasi ya Beijing kutoka China na unatarajiwa kukamilika mwezi Desemba, 2022.
Amefafanua kuwa Mkandarasi huyo tayari ameshawasilisha vifaa vyake katika eneo la mradi kwa ajili ya kuanza rasmi ujenzi huo, na kusisitiza kuwa ujenzi wa uwanja huo unasimamiwa na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), mkoa wa Mara.Hakuna kama Samia,
RAIS SAMIA SULUHU ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA NDEGE WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI BABA WA TAIFA KWA VITENDO

#nakupenda Tanzaniaexpand...
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzaniaRAIS SAMIA SULUHU ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA NDEGE WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI BABA WA TAIFA KWA VITENDO
Huu ni muonekano wa baadhi ya vifaa vya ujenzi vya mkandarasi Beijing kutoka nchini China ambavyo vinatarajiwa kutumika katika kazi za maboresho ya uwanja wa ndege wa Musoma sehemu aliyozaliwa muasisi wa Taifa hili.![]()
Serikali ya Rais Samia Suluhu imesema inatarajia kutumia kiasi cha TZS 35BL ili kuboresha uwanja wa ndege wa Musoma,
Maboresho hayo ni pamoja na kuweka lami na kuongeza urefu wa uwanja huo ili kuruhusu ndege kubwa na ndogo kuweza kutua.
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Khalfani Haule, amesema kuwa mradi huo ukikamilika utarahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kwa wananchi wa Musoma na pia kuchochea biashara ya utalii kupitia Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ambayo ipo mkoani humo.
Ameongeza kuwa Uongozi wa Wilaya tayari umejipanga kwa kuupokea mradi huo na wameahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa Mkandarasi huyo kwa kumpatia eneo la kuchimba mchanga na kokoto za ujenzi.
Naye, Meneja wa Uwanja wa ndege wa Musoma, Mohammed Bakari, amesema kuwa uwanja huo utajengwa na Kampuni ya kikandarasi ya Beijing kutoka China na unatarajiwa kukamilika mwezi Desemba, 2022.
Amefafanua kuwa Mkandarasi huyo tayari ameshawasilisha vifaa vyake katika eneo la mradi kwa ajili ya kuanza rasmi ujenzi huo, na kusisitiza kuwa ujenzi wa uwanja huo unasimamiwa na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), mkoa wa Mara.Hakuna kama Samia,
#Tanzania kaziiendeleeRAIS SAMIA SULUHU ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA NDEGE WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI BABA WA TAIFA KWA VITENDO
Huu ni muonekano wa baadhi ya vifaa vya ujenzi vya mkandarasi Beijing kutoka nchini China ambavyo vinatarajiwa kutumika katika kazi za maboresho ya uwanja wa ndege wa Musoma sehemu aliyozaliwa muasisi wa Taifa hili.![]()
Serikali ya Rais Samia Suluhu imesema inatarajia kutumia kiasi cha TZS 35BL ili kuboresha uwanja wa ndege wa Musoma,
Maboresho hayo ni pamoja na kuweka lami na kuongeza urefu wa uwanja huo ili kuruhusu ndege kubwa na ndogo kuweza kutua.
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Khalfani Haule, amesema kuwa mradi huo ukikamilika utarahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kwa wananchi wa Musoma na pia kuchochea biashara ya utalii kupitia Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ambayo ipo mkoani humo.
Ameongeza kuwa Uongozi wa Wilaya tayari umejipanga kwa kuupokea mradi huo na wameahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa Mkandarasi huyo kwa kumpatia eneo la kuchimba mchanga na kokoto za ujenzi.
Naye, Meneja wa Uwanja wa ndege wa Musoma, Mohammed Bakari, amesema kuwa uwanja huo utajengwa na Kampuni ya kikandarasi ya Beijing kutoka China na unatarajiwa kukamilika mwezi Desemba, 2022.
Amefafanua kuwa Mkandarasi huyo tayari ameshawasilisha vifaa vyake katika eneo la mradi kwa ajili ya kuanza rasmi ujenzi huo, na kusisitiza kuwa ujenzi wa uwanja huo unasimamiwa na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), mkoa wa Mara.Hakuna kama Samia,
Always cheap is cheapCheap!
Kumuenzi Mwalimu Nyerere kiuhalisia ni kumaliza Bwawa la Nyerere hilo lilikuwa ni wazo lake na kuhamia Dodoma, Nyerere alianzisha Mji Mkuu mpya wa Dodoma.
Yote mawili Bwawa la Nyerere na Dodoma Samia anayapiga vita, kama si kwa maneno basi kwa vitendo, angalau kulingana na matendo ya watendaji wake.
Mengine yote usanii tu.
Wewe ndugu the bulldozer kama upo hapo Musoma mwambie mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya tuna taarifa za upigaji kwenye mradi huo, upigaji wenyewe unahusu malipo ya kuwahamisha wananchi wote wanaopisha mradi.
Kwa taarifa zilizopo wananchi
Mm nafikiri ingekuwa vizur Kama angemalizia ile Hospitali yao ya Kanda ya Serengeti
Mkuu niliandika Ikajisave kabla sijamaliza.Mkuu hebu toa taarifa vizuri hii insue ni serious kama ni kweli,
Wewe ndugu the bulldozer kama upo hapo Musoma mwambie mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya tuna taarifa za upigaji kwenye mradi huo, upigaji wenyewe unahusu malipo ya kuwahamisha wananchi wote wanaopisha mradi.
Kwa taarifa zilizopo wananchi
Hapana sipo Musoma mkuu wangu,Mkuu niliandika Ikajisave kabla sijamaliza.
Kama upo hapo Musoma kuhakikisha hili nenda eneo nilitaja pale juu ufanye investigation yako uone hili jambo.
Mkuu niliandika Ikajisave kabla sijamaliza.
Kama upo hapo Musoma kuhakikisha hili nenda eneo nilitaja pale juu ufanye investigation yako uone hili ja
DaahHakuna taasisi ya uraisi inayotoa pesa. Hizo pesa haina.
Lakini aliona uwanja wa kijijini kwake ni priority ukilinganisha na viwanja vingine vyote.
Marehemu Magufuli hakujenga uwanja wa ndege mpya mahali popote isipokuwa kijijini kwake. Maeneo mengi kulifanyika ukarabati tu lakini kijijini wake alijenga uwanja mkubwa mpya.
Hakika hakuna Kama Rais Samia
Hii habari ni kweliWewe ndugu the bulldozer kama upo hapo Musoma mwambie mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya tuna taarifa za upigaji kwenye mradi huo, upigaji wenyewe unahusu malipo ya kuwahamisha wananchi wote wanaopisha mradi.
Kwa taarifa zilizopo wananchi wananchi asilimia kubwa wa eneo kuelekea kanisa la Afrika Inland Church wamelipwa fedha zao ila kuna urasimu wasimamizi wa mradi wamecheza wameacha kulipa nyumba takribani 17 kuelekea eneo maarufu (Cabin) kwa Kibin .
Hii ni hujuma au upigaji unaofanywa na hao watu ili wafoji documents za wamiliki wa nyumba hizo na baadaye ionekane walishalipwa.
Toka pesa zimetoka wananchi walikuwa wanalipwa kwa makundi ilihali kundi la mwisho lilikuwa halijaliowa ndilo hilo la nyumba kama 17 ambazo ni awamuya mwisho ili mkandarasi azugushe wigo aendelee na ujenzi.
Mkuu wa mkoa Mheshimiwa Ally Hapi hili ni eneo lako la kimamlaka na isitoshe eneo lenyewe linatizama ofisi/geti lako so hawa wananchi kama hawajafika kwako taarifa ndiyo hizi wasije wakaupaka rangi nyeusi uongozi wako ndani ya mkoa huo Mara.
Waafrika tunapaswa kuwa chini ya utawala wenye mabavu, yaani ni bado sana kujitawala na kujiingoza, kutokana na mambo kama haya.Hii habari ni kweli
Urefu wa njia utaongezwa kwenda wapi wakati uwanja wenyewe umeshakuwa katikati ya mji? Uwanja hauna extra space ya kurefusha njia ya kurukia. Labda waondoe makazi ya watu upande mmoja.Maboresho hayo ni pamoja na kuweka lami na kuongeza urefu wa uwanja huo ili kuruhusu ndege kubwa na ndogo kuweza kutua mkoa wa Mara,,Uwanja huu pia utahudumia na maeneo ya jirani kama Simiyu na Mwanza,
DaaaahWaafrika tunapaswa kuwa chini ya utawala wenye mabavu, yaani ni bado sana kujitawala na kujiingoza, kutokana na mambo kama haya.