Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Ubaya uko wapi?Kumbe mleta mada mwenyewe ni timu kisifu na kuabudu,, tangu ufungue hii akaunti yako may 2021 takribani asilimia 95 ya post ulizoanzisha zina neno SAMIA...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubaya uko wapi?Kumbe mleta mada mwenyewe ni timu kisifu na kuabudu,, tangu ufungue hii akaunti yako may 2021 takribani asilimia 95 ya post ulizoanzisha zina neno SAMIA...
Nothing wrongMkapa alifanya zaidi ya hayo kupitia MMEM NA MES but what now?
Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.
" Hakuna kama Samaia "
Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF) pamoja na benki ya dunia ( WB) wameanza kuzisaidia nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ili pesa hizo zitumike kama Economic Stimulus & Relief Fund na hapa muelewe vizuri Tanzania tunapokea mikopo na misaada ila "HATUITEGEMEI " ndio maana hata kwenye bajeti yetu hii ya FY2021|22 katia ya Tshs 36.33trl zilizotengwa pesa zetu ni 91.9% huku misaada na mikopo ikiwa ni 8.1% tu,
IMF tayari imeisaidia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kiasi cha Tshs 1.3trl kwaajili ya kusisimua Uchumi wake uliodorora kwasababu ya covod-19 kwani niukweli usiopingika Tanzania tumeumizwa zaidi kwenye Sekta za Utalii,biashara na Usafirishaji,
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia pesa hizo na baada ya kutoa madarasa ya kisasa elfu 15 sawa na wastani wa madarasa manne kwenye kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima huku kipaumbele kikiwa ni shule zenye upungufu wa madarasa lakini furaha iliyoje Rais wetu ametoa tena jumla ya madawati 462,795 ambayo ni sawa na Wastani wa madawati 120 kwenye kila Shule ya Sekondari nchi nzima ambazo jumla ya shule hizo ni 3,863.
Sababu za Rais Samia Suluhu Hassan kutoa madarasa mapya manne ya kisasa na madawati mapya 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima ni kuhakikisha wazazi wa watoto watakaojiunga na kidato cha kwanza mwakani katika mwaka wa masomo 2021|2025 hawalipi hata Shilingia mia moja kwani Rais wetu mnyenyekevu ameshalipa pia ada za watoto wote 1M wanaotakiwa kuanza shule siku moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022,hii haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu,
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Kila kitabuMkapa alifanya zaidi ya hayo kupitia MMEM NA MES but what now?
Na zama zakeKila kitabu
Heri yako MKUURais SSH kitendo chake cha kufuta retention kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu imesaidi ili alipe alichokopa kimesaidia watu wengi kuclear madeni yao ya mikopo.
yaani unakuta mtu alikuwa akidaiwa 13m ghafla inashuka hadi 5m
mama anaupiga mwingi hadi penetration pass na kuua ofside.
Sema Serikali imetoa pesa kutokana na kodi za wananchi, sio raisi, raisi ana pesa yake binafsi ambayo hawezi kuigawaRais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.
" Hakuna kama Samaia "
Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF) pamoja na benki ya dunia ( WB) wameanza kuzisaidia nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ili pesa hizo zitumike kama Economic Stimulus & Relief Fund na hapa muelewe vizuri Tanzania tunapokea mikopo na misaada ila "HATUITEGEMEI " ndio maana hata kwenye bajeti yetu hii ya FY2021|22 katia ya Tshs 36.33trl zilizotengwa pesa zetu ni 91.9% huku misaada na mikopo ikiwa ni 8.1% tu,
IMF tayari imeisaidia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kiasi cha Tshs 1.3trl kwaajili ya kusisimua Uchumi wake uliodorora kwasababu ya covod-19 kwani niukweli usiopingika Tanzania tumeumizwa zaidi kwenye Sekta za Utalii,biashara na Usafirishaji,
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia pesa hizo na baada ya kutoa madarasa ya kisasa elfu 15 sawa na wastani wa madarasa manne kwenye kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima huku kipaumbele kikiwa ni shule zenye upungufu wa madarasa lakini furaha iliyoje Rais wetu ametoa tena jumla ya madawati 462,795 ambayo ni sawa na Wastani wa madawati 120 kwenye kila Shule ya Sekondari nchi nzima ambazo jumla ya shule hizo ni 3,863.
Sababu za Rais Samia Suluhu Hassan kutoa madarasa mapya manne ya kisasa na madawati mapya 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima ni kuhakikisha wazazi wa watoto watakaojiunga na kidato cha kwanza mwakani katika mwaka wa masomo 2021|2025 hawalipi hata Shilingia mia moja kwani Rais wetu mnyenyekevu ameshalipa pia ada za watoto wote 1M wanaotakiwa kuanza shule siku moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022,hii haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu,
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Tofautisha Rais Samia, Serikali ya Rais Samia na Serikali ya JMTSema Serikali imetoa pesa kutokana na kodi za wananchi, sio raisi, raisi ana pesa yake binafsi ambayo hawezi kuigawa
Hutaki mkuu ? kwanini?Mkuu punguza spidi basi,naona thread zako kibao zinashuka kumpa kongole chief Hangaya!
Kazi iendeleeHutaki mkuu ? kwanini?
iendeleeKazi iendelee
Kwani akisema Samia nini kinapotea?Sema Serikali imetoa pesa kutokana na kodi za wananchi, sio raisi, raisi ana pesa yake binafsi ambayo hawezi kuigawa
Hivi samia anahela gani agawe nchi nzima?tuseme serikali imetoa hela.watz tutakomaa lini mbongo zetu?Saahb
Urais ni taasisi, sio mtu mjombaHivi samia anahela gani agawe nchi nzima?tuseme serikali imetoa hela.watz tutakomaa lini mbongo zetu?
Punguza kuhemuka, umeongea na Mungu?Hakuna wakupambana na Rais Samia 2025,
Mama ameshashinda uchaguzi wa 2025 kabla ya wakati
#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Mungu huyu ni Mungu wa hakiPunguza kuhemuka, umeongea na Mungu?
Faida za ndege nenda kawaulize Ethiopia watakuelezea kwa kina.HUITEGEMEI...mikopo yenye riba na masharti kibao kununua madawati, unanunua ndege kwa pesa cash ambazo ungeweza zipeleka huko kwenye madawati.
Uko sahihiFaida za ndege nenda kawaulize Ethiopia watakuelezea kwa kina.