Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

Hongera sana Rais Samia,
 
Heri yako MKUU
 
Sema Serikali imetoa pesa kutokana na kodi za wananchi, sio raisi, raisi ana pesa yake binafsi ambayo hawezi kuigawa
 
Hivi samia anahela gani agawe nchi nzima?tuseme serikali imetoa hela.watz tutakomaa lini mbongo zetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…