Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Kaziindelee Tanzania
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Kaziiendelee
 
Tanzania tuna -enjoy kuwa na Samia
 
Tuwapongeze wananchi pia kwa Tozo, na pia Waziri Mwigulu kwa kubuni Tozo.

Maana haiwezekani anaekusanya Tozo atukanwe lakini anaegawa Tozo asifiwe.

Rais kafanya vyema, Mwigulu kafanya vyema na Wananchi wamefanya vyema kulipa Tozo. Haya ndiyo matunda ya Tozo tujipongeze sote. Tunaupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…