Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

Daaah Speechless,

Huyu Mama Mungu amtie nguvu jamani,
Haya mambo ni makubwa sana lazima tuwe na huruma,
Msaidieni huyu Rais atatufikisha mbali sana,
Rais Samia usirudi nyuma,

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Rais SSH kitendo chake cha kufuta retention kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu imesaidi ili alipe alichokopa kimesaidia watu wengi kuclear madeni yao ya mikopo.

yaani unakuta mtu alikuwa akidaiwa 13m ghafla inashuka hadi 5m

mama anaupiga mwingi hadi penetration pass na kuua ofside.
 
Hatutak maneno tunataka vitu tuvione porojo tulisha zisahau yeye ana sema tu.
 
Mama Samia kwakweli anafanya kazi kubwa sana
 
Haya madarasa na madawati fedha zimeingia kwenye account husika? Naona maneno yamekuwa mengi kuliko vitendo
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Good indeed
 
Good,
 
Mkapa alifanya zaidi ya hayo kupitia MMEM NA MES but what now?
 
Kumbe mleta mada mwenyewe ni timu kisifu na kuabudu,, tangu ufungue hii akaunti yako may 2021 takribani asilimia 95 ya post ulizoanzisha zina neno SAMIA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…