Rais Samia atoa zawadi za Eid kwa Wahitaji wa dini mbalimbali hapa nchini

Rais Samia atoa zawadi za Eid kwa Wahitaji wa dini mbalimbali hapa nchini

OffOnline

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
644
Reaction score
478
IMG-20220503-WA0010.jpg
IMG-20220503-WA0011.jpg
IMG-20220503-WA0007.jpg
IMG-20220503-WA0008.jpg
IMG-20220503-WA0006.jpg
IMG-20220503-WA0007.jpg
 
Zigatia utamaduni wa hizo dini katika sikuu kuu zao, ni tofauti na zawadi pia ni tofauti ndo maana waona omba omba wanaenda kukaa karibu na misikiti sio karibu na makanisa

Hii sio jibu na hizo zawadi ni pesa ya Umma na zinatakiwa kutolewa sikukuu zote na umekuwa utamaduni wetu kwa Marais wote waliopita kutoa zawadi kwenye sikukuu zote .....maana fungu lipo na si pesa yakr ni kodi za wananchi
 
Zigatia utamaduni wa hizo dini katika sikuu kuu zao, ni tofauti na zawadi pia ni tofauti ndo maana waona omba omba wanaenda kukaa karibu na misikiti sio karibu na makanisa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Zigatia utamaduni wa hizo dini katika sikuu kuu zao, ni tofauti na zawadi pia ni tofauti ndo maana waona omba omba wanaenda kukaa karibu na misikiti sio karibu na makanisa
DAAH HII KWELII.....HIVI KWANINI OMBA OMBA HUKAA KARIBU NA MISIKITI HASA SIKU YA IJUMAA.. ILA MAKANISANI HUWA SIWAONI
 
Zigatia utamaduni wa hizo dini katika sikuu kuu zao, ni tofauti na zawadi pia ni tofauti ndo maana waona omba omba wanaenda kukaa karibu na misikiti sio karibu na makanisa

MATENDO ya Mitume 3: 1-8
1 Basi Petro na Yohana walikuwa wakikwea pamoja kwenda hekaluni, saa ya kusali, saa tisa.
2 Na mtu mmoja aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mamaye alichukuliwa na watu, ambaye walimweka kila siku katika mlango wa hekalu uitwao Mzuri, ili aombe sadaka kwa watu waingiao ndani ya hekalu.
3 Mtu huyu akiwaona Petro na Yohana wakiingia hekaluni aliomba apewe sadaka.
4 Na Petro, akimkazia macho, pamoja na Yohana, akasema, Tutazame sisi.
5 Akawaangalia, akitaraji kupata kitu kwao.
6 Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.
7 Akamshika mkono wa kuume, akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikatiwa nguvu.
8 Akaondoka upesi akasimama, akaanza kwenda; akaingia ndani ya hekalu pamoja nao, akienda, akiruka-ruka, na kumsifu Mungu.
 
Ni ktk kipindi cha awamu ya 6 ndiyo naona wazanzibar na waislam wanasifia kila kitu anachokifanya rais.

Wazanzibari wanasema tusizitaje kero za muungano. Tutaje mazuri ya muungano.

Waislamu wanasema SSH kaupiga mwingi kwa kutoa zawadi za Idd ili hali pasaka hajatoa hata Senti.
 
Nami shida yangu ipo hapo tu
 
Ameshindwa tu kutupenda wafanyakazi na Wakristo [emoji1787][emoji1787]
Tuache udini, kama kuna kiongozi alikuwa mdini, mkanda lakini mchapa kazi alikuwa ni MAGUFULI, Wateule wa Serekali yake wengi walikuwa wa Dini moja na dhehebu moja na kanda yake, lakini hatukusubutu kukemea wala kulizungumzia.

Lakini tunapenda sana kuwasema viongozi wa kiislamu katika matekelezo yao. Jee Waislamu sio WATANZANIA?????
 
Ni ktk kipindi cha awamu ya 6 ndiyo naona wazanzibar na waislam wanasifia kila kitu anachokifanya rais.

Wazanzibari wanasema tusizitaje kero za muungano. Tutaje mazuri ya muungano.

Waislamu wanasema SSH kaupiga mwingi kwa kutoa zawadi za Idd ili hali pasaka hajatoa hata Senti.
Kwa kifupi unamaanisha wote wanaomuunga mkono SSH ni WAISLAMU NA WANZANZIBAR na wanaompinga ni WAKRISTO NA WATANGANYIKA.

HII NCHI IMEJAA VILAZA KUANZIA VIONGOZI HADI WANANCHI WA KAWAIDA.
 
Back
Top Bottom