Rais Samia atoa zawadi za Eid kwa Wahitaji wa dini mbalimbali hapa nchini

Rais Samia atoa zawadi za Eid kwa Wahitaji wa dini mbalimbali hapa nchini

DAAH HII KWELII.....HIVI KWANINI OMBA OMBA HUKAA KARIBU NA MISIKITI HASA SIKU YA IJUMAA.. ILA MAKANISANI HUWA SIWAONI

Kwa sababu Waislam hutoa kwa wahitaji tofauti na wanaomchangia mtu au taasisi Halafu wakijenga shule au hospitali wanaenda kulipia tena michango yao hiyo hiyo
Huwa najiuliza sana hili swali
Elon musk hapa kasema ukweli
IMG_6421.jpg
 
MATENDO ya Mitume 3: 1-8
1 Basi Petro na Yohana walikuwa wakikwea pamoja kwenda hekaluni, saa ya kusali, saa tisa.
2 Na mtu mmoja aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mamaye alichukuliwa na watu, ambaye walimweka kila siku katika mlango wa hekalu uitwao Mzuri, ili aombe sadaka kwa watu waingiao ndani ya hekalu.
3 Mtu huyu akiwaona Petro na Yohana wakiingia hekaluni aliomba apewe sadaka.
4 Na Petro, akimkazia macho, pamoja na Yohana, akasema, Tutazame sisi.
5 Akawaangalia, akitaraji kupata kitu kwao.
6 Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.
7 Akamshika mkono wa kuume, akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikatiwa nguvu.
8 Akaondoka upesi akasimama, akaanza kwenda; akaingia ndani ya hekalu pamoja nao, akienda, akiruka-ruka, na kumsifu Mungu.
Umenifurahisha sana dadake,
 
Mwenyezi Mungu ambariki na kumpa umri mrefu
 
Back
Top Bottom