Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
DAAH HII KWELII.....HIVI KWANINI OMBA OMBA HUKAA KARIBU NA MISIKITI HASA SIKU YA IJUMAA.. ILA MAKANISANI HUWA SIWAONI
Umenifurahisha sana dadake,MATENDO ya Mitume 3: 1-8
1 Basi Petro na Yohana walikuwa wakikwea pamoja kwenda hekaluni, saa ya kusali, saa tisa.
2 Na mtu mmoja aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mamaye alichukuliwa na watu, ambaye walimweka kila siku katika mlango wa hekalu uitwao Mzuri, ili aombe sadaka kwa watu waingiao ndani ya hekalu.
3 Mtu huyu akiwaona Petro na Yohana wakiingia hekaluni aliomba apewe sadaka.
4 Na Petro, akimkazia macho, pamoja na Yohana, akasema, Tutazame sisi.
5 Akawaangalia, akitaraji kupata kitu kwao.
6 Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.
7 Akamshika mkono wa kuume, akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikatiwa nguvu.
8 Akaondoka upesi akasimama, akaanza kwenda; akaingia ndani ya hekalu pamoja nao, akienda, akiruka-ruka, na kumsifu Mungu.
Kwani pssaka inataka lazima utoe zawadi?Zawadi alizomwaga kipindi cha Pasaka zikowapi? msipoleta picha Samia ni mdini
Full stop.
Hata Mimi nashangaa,Kwani pssaka inataka lazima utoe zawadi?
Acha mentality za kidini wewe jamaaZawadi alizomwaga kipindi cha Pasaka zikowapi? msipoleta picha Samia ni mdini
Full stop.
Kwa kifupi unamaanisha wote wanaomuunga mkono SSH ni WAISLAMU NA WANZANZIBAR na wanaompinga ni WAKRISTO NA WATANGANYIKA.
HII NCHI IMEJAA VILAZA KUANZIA VIONGOZI HADI WANANCHI WA KAWAIDA.
🤝Umenifurahisha sana dadake,
Wagalatia hawahitaji misaada ndio maana hawajazani makanisa siku zao za ibada!Mbona Christmas na pasaka hakusikika kutoa misaada kwa wahitaji?