Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
anatafuta cheap popularity...na pesa anachota hazina.Pesa ambazo raisi anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko.
Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa mishahara na timu zao
Kama ni motisha aseme timu ikishinda kombe atatoa zawadi yenye kiasi fulan.
Hakuna kuendekekeza visivyo na faida nchi kama china Japan na south Korea ,zimeendelea kwa kuach upuuzi na kudeal na mambo yenye tija
anatoa mfukoni mwake,rais analipwa pesa nyingi sana,kama sikosei si chini ya milioni 100,acha posho za safari,meal allowance n.k....na anajua kabisa simba au yanga ata zikishinda mechi zao{kabahati} hawawezi kushinda zaidi ya mabao wawili,,,,na kimkakati,,hapo anatamani mnyama asishinde ingawa anajua mnyama lazima ashinde,,,,lakini lengo lake hasa ni kuamsha ari ya UTOPOLO ili aishinde MAMELODI [ingawa anajua haiwezekani]..so ametangaza hiyo offer huku roho yake ikiuma,kwani anajua 'PESA INAENDA KWA MNYAMA MKALI,MLA NYAMA PORI}...Pesa ambazo Rais anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko.
Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa mishahara na timu zao
Kama ni motisha aseme timu ikishinda kombe atatoa zawadi yenye kiasi fulan.
Hakuna kuendekekeza visivyo na faida nchi kama china Japan na south Korea ,zimeendelea kwa kuach upuuzi na kudeal na mambo yenye tija
jinga tu kama liendazake tu ndiomaana watu wenye akili tangu zamani hawakukubali kuongozwa na wanawake maana wanawajua kuwa hawana akili upeo wao uko jikoni , kuzaa na kujiremba full stop.