Rais Samia atoke hadharani atoe ufafanuzi alimaanisha nini aliposema "hambinyi" sana GSM ktk biashara zake

Rais Samia atoke hadharani atoe ufafanuzi alimaanisha nini aliposema "hambinyi" sana GSM ktk biashara zake

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Je, anampa upendeleo wa kikodi na ushauri wa forodha?

Na kama anafanya hivyo, huu siyo uhujumu uchumi?



“Natoa wito kwa Wadau kusaidia michezo kwani uendeshaji wa michezo una gharama kubwa, hapa namuona Ghalib (GSM) akijua kuna mashindano mbele flesh ya nyama inapungua kidogo anapiga mahesabu zitanitoka ngapi lakini zikutoke tu Baba yangu ndilo eneo ulilochagua na ndilo eneo Mungu alilokupangia kwahiyo zitoe”

“Na kwa bahati nzuri Mimi wala sikubinyi kabisa nimekupa nafasi fanya biashara, wewe na wenzio hambinywi kabisa kwahiyo zile ambazo sisi hatubinyi pelekeni kwenye michezo”

Pia soma > Ghalib Said Mohamed wa GSM (zamani Home Shopping Center) na wenzake waichangia CCM Sh. Bilioni 10 za Uchaguzi
 
Last edited:
Kwahio uamuzi ni wake na sio according to Sheria na Taratibu ? Cha maana ni kutokumtumbua yoyote na popote bali kila mtu afanye kazi katika level playing field (Na kama tukiamini ya JPM ambayo alisema kuna watu walikuwa wanaleta Makontena na Kulipa TRA ndivyo sivyo basi hapa utaona kuna walakini) Anyway Nilishashauri kama mambo yakienda ipasavyo basi hata hizi Timu zitajiendesha bila kuhitaji Hisani sababu hata watazamaji watakuwa na disposable income ya kuingia uwanjani na kununua merchandise...,


After all wanaokuza michezo tawapa Hongera Azam na sio hawa.... (Kuna Uzi nilitoa 2014, jambo ambalo Azam wamelifanyia kazi na Sasa hivi Ligi hii ina mvuto)

 
Je, anampa GSM upendeleo wa kikodi na ushauri wa forodha?

Na kama anafanya hivyo, huu siyo uhujumu uchumi??

View attachment 3442045
Raisi anatoa kauli za utatanishi sana. Hayo uliyoyataja ni baadhi tu. Mengine ni kwa mfano 'Kifo ni kifo tu' (kwa Ali Kibao); mtu ale kwa urefu wa kamba yake; Katiba ni kijitabu tu; etc. Mtu wa hadhi yake hapaswi kabisa kusema hayo.
 
Je, anampa GSM upendeleo wa kikodi na ushauri wa forodha?

Na kama anafanya hivyo, huu siyo uhujumu uchumi??

View attachment 3442045
downloadfile-9.jpg
 
Back
Top Bottom