Je, anampa upendeleo wa kikodi na ushauri wa forodha?
Na kama anafanya hivyo, huu siyo uhujumu uchumi?
View attachment 3442142
“Natoa wito kwa Wadau kusaidia michezo kwani uendeshaji wa michezo una gharama kubwa, hapa namuona Ghalib (GSM) akijua kuna mashindano mbele flesh ya nyama inapungua kidogo anapiga mahesabu zitanitoka ngapi lakini zikutoke tu Baba yangu ndilo eneo ulilochagua na ndilo eneo Mungu alilokupangia kwahiyo zitoe”
“Na kwa bahati nzuri Mimi wala sikubinyi kabisa nimekupa nafasi fanya biashara, wewe na wenzio hambinywi kabisa kwahiyo zile ambazo sisi hatubinyi pelekeni kwenye michezo”
Pia soma >
Ghalib Said Mohamed wa GSM (zamani Home Shopping Center) na wenzake waichangia CCM Sh. Bilioni 10 za Uchaguzi