mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,070
- 3,792
Serikali imepigwa kopi, wahuni sio watu wazuri
hawalipi kodi...wanamlipa yeyeJe, anampa upendeleo wa kikodi na ushauri wa forodha?
Na kama anafanya hivyo, huu siyo uhujumu uchumi?
View attachment 3442142
“Natoa wito kwa Wadau kusaidia michezo kwani uendeshaji wa michezo una gharama kubwa, hapa namuona Ghalib (GSM) akijua kuna mashindano mbele flesh ya nyama inapungua kidogo anapiga mahesabu zitanitoka ngapi lakini zikutoke tu Baba yangu ndilo eneo ulilochagua na ndilo eneo Mungu alilokupangia kwahiyo zitoe”
“Na kwa bahati nzuri Mimi wala sikubinyi kabisa nimekupa nafasi fanya biashara, wewe na wenzio hambinywi kabisa kwahiyo zile ambazo sisi hatubinyi pelekeni kwenye michezo”
Pia soma > Ghalib Said Mohamed wa GSM (zamani Home Shopping Center) na wenzake waichangia CCM Sh. Bilioni 10 za Uchaguzi
Huyu mama tulipaswa kumfurusha ofisini kwa kauli hii.hawalipi kodi...wanamlipa yeye
Km kawaida yao hao washamba wamezoea kuzusha. Kwanza hicho siyo kiswahili cha mzanzibari. Hicho ni kiswahili cha washamba wa baraHaya maneno aliyasema kweli au ya kutengezwa?!
Acha ushamba watanzania wana hotuba halisi we unaweza kumdanganya mamako tu. Kiswahili cha kishamba hivyo siyo cha Rais wetu, umesikia we mbwa koko? Mshamba usiye na hayaJe, anampa upendeleo wa kikodi na ushauri wa forodha?
Na kama anafanya hivyo, huu siyo uhujumu uchumi?
View attachment 3442142
“Natoa wito kwa Wadau kusaidia michezo kwani uendeshaji wa michezo una gharama kubwa, hapa namuona Ghalib (GSM) akijua kuna mashindano mbele flesh ya nyama inapungua kidogo anapiga mahesabu zitanitoka ngapi lakini zikutoke tu Baba yangu ndilo eneo ulilochagua na ndilo eneo Mungu alilokupangia kwahiyo zitoe”
“Na kwa bahati nzuri Mimi wala sikubinyi kabisa nimekupa nafasi fanya biashara, wewe na wenzio hambinywi kabisa kwahiyo zile ambazo sisi hatubinyi pelekeni kwenye michezo”
Pia soma > Ghalib Said Mohamed wa GSM (zamani Home Shopping Center) na wenzake waichangia CCM Sh. Bilioni 10 za Uchaguzi
Qmmk!Acha ushamba watanzania wana hotuba halisi we unaweza kumdanganya mamako tu. Kiswahili cha kishamba hivyo siyo cha Rais wetu, umesikia we mbwa koko? Mshamba usiye na haya
Mmmh🤣Matokea yake ya division 0 yanafichwa kushinda uchi wa kitambaa cheupe.