Kayasema wakati anapewa tuzo sijui inaitwa nishani ya michezoHaya maneno aliyasema kweli au ya kutengezwa?!
Huyu mama anaipeleka nchi pabaya. Hii kauli ilipaswa kumuondoa ikulu ingekuwa ni taifa linalojielewaKayasema. Nilisikia kwenye video fulani.
Kaongea ujinga wa kiwango cha SGR huyu mama.Elimu , elimu , elimu.
Kukosa elimu utashindwa kujua uzungumze nini na wapi.
Kayatamka kwa kinywa chake, mkuu hatuna 'rahisi' ni basi tufanyeje!.Haya maneno aliyasema kweli au ya kutengezwa?!
Umesema ukweli sana! Nchi hii ni ya vilaza watupu, sio wote baadhi TU!Siku aliyosema Katiba ni kijitabu alipaswa kuondoka Ikulu muda huohuo
Raisi anatoa kauli za utatanishi sana. Hayo uliyoyataja ni baadhi tu. Mengine ni kwa mfano 'Kifo ni kifo tu' (kwa Ali Kibao); mtu ale kwa urefu wa kamba yake; Katiba ni kijitabu tu; etc. Mtu wa hadhi yake hapaswi kabisa kusema hayo.Je, anampa GSM upendeleo wa kikodi na ushauri wa forodha?
Na kama anafanya hivyo, huu siyo uhujumu uchumi??
View attachment 3442045
Je, anampa GSM upendeleo wa kikodi na ushauri wa forodha?
Na kama anafanya hivyo, huu siyo uhujumu uchumi??
View attachment 3442045
Haishiwi maboko.Kaongea ujinga wa kiwango cha SGR huyu mama.