Rais Samia atoke hadharani atoe ufafanuzi alimaanisha nini aliposema "hambinyi" sana GSM ktk biashara zake

Kwani wewe umeshindwa kuwa tajiri mkubwa na wewe ili usibinywe sana?
Sisi maskini tuna matatizo ndugu zangu!
Dunia nzima wafanya biashara wakubwa kama hawa lazima walindwe maana kodi wanayochangia wewe hata mara mia hauwezi!
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba ake ALIVYO INGIA TUU MADALAKANI alivvyopata nafasi yakuongea na baraza la mawaziri,,, mtu huyu hatasaulika kwenye hili TAIFA ,,, kifo ni kifo TUUU
 
Hayakuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…