Rais Samia atua Afrika Kusini kushiriki uapisho wa Ramaphosa hapo kesho

Rais Samia atua Afrika Kusini kushiriki uapisho wa Ramaphosa hapo kesho

Kweli we jamaa ni kilaza.

Yaani Rais anapata kura 283 nchi nzima??
 
Safari hiyo ina tija kubwa sana katika kuendeleza undugu wa kihistoria baina ya Mataifa yetu haya mawili.

A simple tweet angemaliza sio lazima kwenda kila safari. Ramaphosa anaendelea term ya pili kwa ushindi mwembamba mpiga mwingi anajipeleja tu.

Kaua safari za China ili azurure na ndege za wasanii wake. Mwambieni mpiga mwingi atulie aone nchi inaendaje. Huwezi kuendeshea nchi ukiwa angani kila siku utapigwa tu.
 
Mpiga mwingi anatumia Boeing iliyokua inaenda China kwa safari zake. Ndege yake sijui ilizingua. ATCL wanakosa mapato ili mpiga mwingi azurure na wasanii wenzake.
Watasema kaenda kutuombea pesa za maendeleo.
 
Back
Top Bottom