Rais Samia atua Afrika Kusini kushiriki uapisho wa Ramaphosa hapo kesho

Rais Samia atua Afrika Kusini kushiriki uapisho wa Ramaphosa hapo kesho

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ametua kwa kishindo na salama kabisa Nchini Afrika kusini,ambako amekwenda kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Rais wa Taifa hilo Mheshimiwa Ramaphosa utakaofanyika siku ya kesho.

Hii ni baada ya kupata ushindi wa kura takribani 283 baada ya kuungana na chama cha DA(Demoratic Alliance)zidi ya mgombea wa kutoka chama cha EFF cha Julius Malema.ikumbukwe ya kuwa safari hiyo ni ya muhimu sana kwa Rais wetu kuhudhuria,hasa kwa kuzingatia historia yetu ya kipekee kabisa na Taifa letu na Afrika kusini.

Ndio maana mnakumbuka mwaka 2013 namna Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete namna alivyoshangiliwa kwa kishindo na wa Afrika kusini wakati wa msiba wa hayati Nelson Mandela wakati akitoa historia yetu na yeye na namna Tanzania ilivyo msaidia Nelson Mandela katika masuala mbalimbali,hadi akawatania kuwa alisahau viatu vyake na alikuwa akitumia paspoti yetu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

PIA SOMA
- Rais Samia kwenda Afrika Kusini kwenye uapisho wa Ramaphosa

- Rais Samia kwenda Afrika Kusini kwenye uapisho wa Ramaphosa

Mwashambwa nilikuambia, akimaliza kuteua na kutengua atapaa, haijapita wiki 🤣

Mwashambwa roughly estimation ya Rais anaposafiri hela zinazotumika ni not less than 1B , piga hesabu Bi ngapi zimeshapotea ?

Kuna vijiji wanakunywa maji ya mtoni, kuna vijiji wanasoma chini ya mti, hakuna bima.

Akirudi atateua na kutengua kisha atapaa

Kila siku ana hand over nchi, dah

Lucas Mwashambwa, Big chawa, all the best , some days nitafurahi kukuona kwenye PDF , I pray for that Big Chawa, Lucas Mwashambwa
 
Kazi mliyobakia nayo kwa sasa ni kazi ya uzushi na uongo tu. Hiyo Billion moja huwa unatoa na kuidhinisha wewe? Unao huo ushahidi ukiambiwa uweke hapa?
 
Mpiga mwingi anatumia Boeing iliyokua inaenda China kwa safari zake. Ndege yake sijui ilizingua. ATCL wanakosa mapato ili mpiga mwingi azurure na wasanii wenzake.
Ndege ni yetu na ndio maana Rais wetu anaitumia na ataendelea kuitumia na tunataka kuona Rais wetu mpendwa akitumia ndege zetu na siyo zile za kukodi kama alivyofanya Rais wa nchi jirani ..ndio raha ya Taifa lenye maoni kuwa na usafiri wa uhakika wa anga kama ilivyo kwetu watanzania
 
Back
Top Bottom