Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho .
Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ,yatakayofanyika katika shule ya Polisi Tanzania,Moshi Kilimanjaro
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.