Rais Samia atua mkoani Kilimanjaro tayari kuzungumza na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho .

Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ,yatakayofanyika katika shule ya Polisi Tanzania,Moshi KilimanjaroView attachment 3097607

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Chama cha hovyo kuwahi kutokea
 
Kuna wagonjwa wa milembe wako mitaani wanatumiwa kusifia ujinga na upuuzi
 
Daah...hadi nimeangalia tena....kumbe kweli n Makonda! Katupia pigo za kiAsia hadi nikamsahau.
Hata mie aisee nikarudi maana siku-pay attention Kwa kuwa nimemwona mkuu wa Kilimanjaro nikarudi tena nikasema mbona hayupo ndo nikarudi tena na kupitia nyuso zao
 
Back
Top Bottom