Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Umeshayasikia hayo mazungumzo ?!!Mazungumzo ya namna ya kuteka watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshayasikia hayo mazungumzo ?!!Mazungumzo ya namna ya kuteka watu
Wewe umeyasikia?Umeshayasikia hayo mazungumzo ?!!
Umeuliza nini hapo na akili yako hiyo kisoda😀😀😀Acha upumbavu jibu nilichouliza?!
Acha kukurupuka kama kuku.Wewe umeyasikia?
Mavazi tu hayo...kwenye picha pale kati namwona mtoto wa mfalme wa oman
Daah...hadi nimeangalia tena....kumbe kweli n Makonda! Katupia pigo za kiAsia hadi nikamsahau.Huyo ni Mwamba Mwenyewe kwelikweli kijana jasiri kusini mwa jangwa la Sahara na Mwamba wa kaskazini Mheshimiwa Sana Paul Christian Makonda
Niko mapumziko ya kusikiliza....wewe uko "active" na ndio maana umetueleza kilichotamkwa 🤣Wewe umeyasikia?
Tulia albadir ifanye kaziAcha kukurupuka kama kuku.
Huyo ndio Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.
Tulia wewe UWT, kwani kuna mtu ametajwa hapo?Niko mapumziko ya kusikiliza....wewe uko "active" na ndio maana umetueleza kilichotamkwa 🤣
Wewe ulishachanganyikiwa muda sana..anatoa wapi ujasiri na makalio makubwa kuzidi hata wanawake?
Jasiri wa kuiba mali za umma..anatoa wapi ujasiri na makalio makubwa kuzidi hata wanawake?
Mimi ni mwanachama wa CCM kupitia UVCCM na si umoja wa wanawake wa Tanzania ndugu bibi....Tulia wewe UWT, kwani kuna mtu ametajwa hapo?
Wewe ulishachanganyikiwa muda sana
Wewe ulishapuuzwa muda mrefu sana.tumebakia tunakuangalia kama sinema tu..makalio ya mloganzila.
Lini umetoka UWT?Mimi ni mwanachama wa CCM kupitia UVCCM na si umoja wa wanawake wa Tanzania ndugu bibi....
Mfungulie mashtaka ndugu bibi...Jasiri wa kuiba mali za umma
Naona UWT wanampenda sn Makonda..makalio ya mloganzila.