Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #41
Achana naye huyo maana akili yake ilishaloose na kubakia kila mtu anamwita dada yake.Mimi ni mwanachama wa CCM kupitia UVCCM na si umoja wa wanawake wa Tanzania ndugu bibi....
Mahakama zipo sehemu gani au haya matawi ya CCM?Mfungulie mashtaka ndugu bibi...
Mimi sio mwanamke mkuu wangu...."wing" yetu ni UVCCM na si huko kwa akina mama....Lini umetoka UWT?
Tulia wewe mpuuziAchana naye huyo maana akili yake ilishaloose na kubakia kila mtu anamwita dada yake.
🤣Achana naye huyo maana akili yake ilishaloose na kubakia kila mtu anamwita dada yake.
Unakana jinsia ako? nyie CCM mpo tayari hata kukana utaifa mbele ya maslahiMimi sio mwanamke mkuu wangu...."wing" yetu ni UVCCM na si huko kwa akina mama....
Chama cha hovyo kuwahi kutokeaNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho .
Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ,yatakayofanyika katika shule ya Polisi Tanzania,Moshi KilimanjaroView attachment 3097607
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Katika mahakama hizo hizo serikali ya CCM imeshashindwa mara nyingi tu.....Mahakama zipo sehemu gani au haya matawi ya CCM?
Kuna wagonjwa wa milembe wako mitaani wanatumiwa kusifia ujinga na upuuziNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho .
Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ,yatakayofanyika katika shule ya Polisi Tanzania,Moshi KilimanjaroView attachment 3097607
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unaumia ukiwa wapi huko ndugu yangu.Kuna wagonjwa wa milembe wako mitaani wanatumiwa kusifia ujinga na upuuzi
🤣Unakana jinsia ako? nyie CCM mpo tayari hata kukana utaifa mbele ya maslahi
Acheni maigizo yenu, wewe na Rostam nani mkweli? tuna mwamini Rostam tena yupo karibu na maza wewe hata diwani hakujuiKatika mahakama hizo hizo serikali ya CCM imeshashindwa mara nyingi tu.....
Nakufahamu vizuri🤣
Leo sasa uelewe kuwa mimi ni mwanaume mwenzako ndugu bibi.....
Toa ujinga wako hapa dogo.hupaswi kujadiliana na sisi maana wewe bado ni akili ndogo.Acheni maigizo yenu, wewe na Rostam nani mkweli? tuna mwamini Rostam tena yupo karibu na maza wewe hata diwani hakujui
We huna akili, Mungu akusaidie upate akili timamuToa ujinga wako hapa dogo.hupaswi kujadiliana na sisi maana wewe bado ni akili ndogo.
Wewe ni bingwa wa uzushi na fitna 🤣Nakufahamu vizuri
CCM wenzako wananiheshimu snWewe ni bingwa wa uzushi na fitna 🤣
Hata mie aisee nikarudi maana siku-pay attention Kwa kuwa nimemwona mkuu wa Kilimanjaro nikarudi tena nikasema mbona hayupo ndo nikarudi tena na kupitia nyuso zaoDaah...hadi nimeangalia tena....kumbe kweli n Makonda! Katupia pigo za kiAsia hadi nikamsahau.
🤣🤣CCM wenzako wananiheshimu sn
🤣Toa ujinga wako hapa dogo.hupaswi kujadiliana na sisi maana wewe bado ni akili ndogo.