Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimependa picha ya chini, ikionesha kichapia Gwaride!
Nenda getini ukaangalie vizuriMazingira ya kuingia getini mmeweka sawa lakini
Ova
Acha kusifia wanaume utaolewaKaa kwa kutulia
Unaumia ukiwa wapi huko?Acha kusifia wanaume utaolewa
Nasikitika vijana wa kiume mkijitoa utu wenu kisa mali na madaraka ya wanaume mwingine na mkiishia kushikishwa ukutaUnaumia ukiwa wapi huko?
Mkuu, ndio maana hao wanachukuliwa wale waliofeli na hawana uwezo wa kuendelea kimasomo.Just imagine huyu afisa ana kanyota kamoja na amevaa ndula zimevurugwa nanna hii kama ulimi WA umbwa za kolokoloni na bado haoni haja ya kusapoti movement ya kuboresha maisha yake na wanae. Bulukenge wahedi.
Endelea kuweweseka na mahasira yako hapa.Nasikitika vijana wa kiume mkijitoa utu wenu kisa mali na madaraka ya wanaume mwingine na mkiishia kushikishwa ukuta
Kaa kwa password
Kivipi mkuu wangu?Kaa kwa password
Siweweseki nina maisha yangu na sisifii wanaume awe rais au mkuu wa mkoa sijitoi ufahamu kama wewe sipigi kelele ili nileEndelea kuweweseka na mahasira yako hapa.
Tushirikiane kutokomeza utekaji, mauaji, udini, upendeleo na ufisadi ndani ya TanganyikaKivipi mkuu wangu?
Sawa makhuluku tabu 🤣Tushirikiane kutokomeza utekaji, mauaji, udini, upendeleo na ufisadi ndani ya Tanganyika
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho .
Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ,yatakayofanyika katika shule ya Polisi Tanzania,Moshi KilimanjaroView attachment 3097607
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.