Rais Samia atua mkoani Kilimanjaro tayari kuzungumza na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi

Rais Samia atua mkoani Kilimanjaro tayari kuzungumza na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi

Mazingira ya kuingia getini mmeweka sawa lakini

Ova
 
Just imagine huyu afisa ana kanyota kamoja na amevaa ndula zimevurugwa nanna hii kama ulimi WA umbwa za kolokoloni na bado haoni haja ya kusapoti movement ya kuboresha maisha yake na wanae. Bulukenge wahedi.
Mkuu, ndio maana hao wanachukuliwa wale waliofeli na hawana uwezo wa kuendelea kimasomo.

Ni rahisi sana kumuamrisha mtu mjinga kuliko mwerevu , mjinga ataenda kufanya kila atakachoambiwa ila mwerevu atakuwa na maswali na kipimo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho .

Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ,yatakayofanyika katika shule ya Polisi Tanzania,Moshi KilimanjaroView attachment 3097607

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Back
Top Bottom