Rais Samia atua Namibia kumzika Hayati Dkt. Geingob

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo, Ijumaa Februari 23.2024 amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako ulioko jijini Windhoek, nchini Namibia kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob







Shughuli za mazishi ya kitaifa ya Hayati Dkt. Geingob zinatarajia kufanyika katika jiji la Windhoek nchini humo kesho, Jumamosi Februari 24.2024
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo, Ijumaa Februari 23.2024 amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako ulioko jijini Windhoek..
Khaaa!!
 
kwen safari ya kwenda msibani sioni kulaumiwa kwake.
apumzike kwa amani raisi aliyefariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…