Rais Samia atua Namibia kumzika Hayati Dkt. Geingob

Rais Samia atua Namibia kumzika Hayati Dkt. Geingob

Huyu ingekuwa miaka ya sabini angeambiwa baki huko huko viwanja vyote vya ndege vimefungwa
 
Hee kumekucha. Kama Taifa jamani machi 17 tuliangamia rasmi
 
Kazi tunayo aisee.

Si alikua Ethiopia juzi tu hapo na tena ni baada ya kutoka Vatican, Norway, na kwenye mazishi ya Lowasa.

Ofisini anakaa saa ngapi huyu??
Hayo si ya kuzungumzia chumban si familia moja huyu?
 
Back
Top Bottom