J jabulani JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 5,547 Reaction score 11,704 Feb 24, 2024 #41 Huyu ingekuwa miaka ya sabini angeambiwa baki huko huko viwanja vyote vya ndege vimefungwa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 24, 2024 #42 Hee kumekucha. Kama Taifa jamani machi 17 tuliangamia rasmi
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 24,977 Reaction score 23,799 Feb 24, 2024 #43 27 escaping.....
kichongeochuma JF-Expert Member Joined Jan 21, 2024 Posts 1,669 Reaction score 2,864 Feb 24, 2024 #44 Stroke said: Kazi tunayo aisee. Si alikua Ethiopia juzi tu hapo na tena ni baada ya kutoka Vatican, Norway, na kwenye mazishi ya Lowasa. Ofisini anakaa saa ngapi huyu?? Click to expand... Hayo si ya kuzungumzia chumban si familia moja huyu?
Stroke said: Kazi tunayo aisee. Si alikua Ethiopia juzi tu hapo na tena ni baada ya kutoka Vatican, Norway, na kwenye mazishi ya Lowasa. Ofisini anakaa saa ngapi huyu?? Click to expand... Hayo si ya kuzungumzia chumban si familia moja huyu?