Rais Samia Atuma Salamu Nzito za Pongezi kwa Rais wa Afrika kusini kwa kuchaguliwa kwake Awamu ya pili.

Ciryl ni DA sponsered candidate, na his strategical asignment imetimia, utawala wa wazungu umerudi palepale, tuliokuwa tunajifanya wapigania ukombozi wa kusini tutaanza kuona cha moto
 
Ciryl ni DA sponsered candidate, na his strategical asignment imetimia, utawala wa wazungu umerudi palepale, tuliokuwa tunajifanya wapigania ukombozi wa kusini tutaanza kuona cha moto
Bora Wazungu warudi Tena madarakani ili kuitawala South Africa, nchi inakufa.
 
Pambafu popote ulipo
 
Laiti Watanzania wangekuwa na political awareness na maturity kama wenzetu wa SA basi CCM ingeshakufa kitambo. Mtaji wa CCM ni ujinga na umasikini wa Watanzania. Umeeleza vizuri sana kwa nini DA wamepigiwa kura nyingi kuliko vyama vingine vya upinzani.
 
Utakufa wewe na ujinga wako kichwani ,lakini siyo CCM hii iliyo imara na kubeba matumaini ya mamilioni ya watanzania
 
Uandishi wako unanipa tabu. Badala ya kuelezea taarifa kikamilifu unajaza maneno mengi mengine yasiyo na tija.

Kuandika maneno mengi kwa kitu ambacho ungeweza kuripoti kwa sentensi mbili, kunaashiria uwezo mdogo wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…