Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi

Mbona hicho hakijamtunuku udokta mr.Putini sjawahi kusikia anaitwa Dr.vladimil pootin
 
Ile safari ilikuwa ni ya Kidiplomasia ya utakaso tu na kutuma ujumbe kwa wakubwa wengine kuwa
"Hata bila nyie tunaweza kuishi", N i hivyo tu basi.
Japo Russia ya Brezhnev Tanzania ilifaidika maneo mengi sana kama vile
1.Elimu na Mafunzo ya kazi
  • Misaada ya Elimu ya sekondari : tulipokea walimu wa sekondari waliofundisha vyeo na shule zetu.
  • Vifaa na Mahitaji ya Elimu: Vitabu,vifaa vya maabara, chati mbalimbali za kufundishia, na mahitaji muhimu
  • Misaada ya Ufadhili wa Masomo ya juu: Wanafunzi wa kitanzania walipata ufadhili wa kuosma Sheria,Udakitari, Uinjinia na Hata utaalamu wa sayansi na kutunukiwa vyeti,Diploma na shahada mbalimbali
2.Ushirikiano wa Uchumi na Ufundi
  • Mikataba ya Maendeleo :Nchi iliingia mikataba mbalimbali ya Ushirikiano wa uchumi na Teknolojia kama vile mambo ya jiolojia na kutusaidia kutafuta madini.
  • Kukuza kilimo:tulipata msaada wa kitaalamu kukuza kilimo cha mahindi na Pamba
  • Elimu ya Anga:Kulikuwa na makubaliano ya mafunzo na kubadilishana utaalamu
3.Ushirikiano wa Kijeshi
  • Silaha na Magari ya Kivita: Brezhnev alitoa silaha nzito nzito za kila aina kwa jeshi na magari ya kivita
  • Mafunzo ya Kimkakati:Mafunzo kwa washauri wa kijeshi na mafunzo kwa wanajeshi,pia waliimarisha ulinzi wa Nchi
4.Kusaidia Mapambano ya ukombozi kusini mwa Africa:
  • Kutoa mafunzo na silaha mstari wa Mbele: Urusi ya Brezhnev ilitoa mafunzo na silaha kwa askari waliokuwa mstari wa mbele wa vyama vya FRELIMO,ANC ,SWAPO na ZANU PF
5.Mahusiano ya juu ya Kudiplomasia:
  • Yalianza na ziara ya JKN mwaka 1969 na baadaye mwaka 1977 ilifuatiwa na ziara ya Nikolai Podgorny akiwa kama kiongozi mkuu wa urusi wakati ule(1965-1977)
Haya yote yalifanyika wakati wa JKN ambapo USSR lilikuwa dude kubwa lenye uwezo mkubwa kiuchumi.
Russia ya Putin sina imani nayo saana kwa kuwa iko chini ya vikwazo na imepungua uwezo baada ya kuanguka kwa ukomunisti na nchi kutawanyika.
Sheer hooey my friend. You can apply lipstick on a pig but it will never cease to be a pig.
 
Mtaumia sana tu.
RAIS SAMIA
1. 2022 – University of Dar es Salaam (Tanzania)
Ametunukiwa Doctor of Laws (LLD Honoris Causa)
Sababu:
Uongozi bora wa taifa
Mageuzi ya uchumi na elimu
Kuimarisha diplomasia ya Tanzania
�
University of Dar es Salaam
2. 2023 – Jawaharlal Nehru University (India)
Ametunukiwa Doctor of Philosophy (Honoris Causa)
Sababu:
Kuimarisha ushirikiano wa kimataifa
Diplomasia na uhusiano wa Afrika–Asia
�
Wikipedia
3. 2023 – State University of Zanzibar (SUZA)
PhD (Tourism Management & Marketing Honoris Causa)
Sababu:
Kukuza utalii (hasa kampeni ya Royal Tour)
Kuongeza pato la taifa kupitia sekta ya utalii
�
Wikipedia
4. 2024 – Ankara University (Türkiye)
Honorary Doctorate in Economics
Sababu:
Mageuzi ya kiuchumi
Ushirikiano wa Tanzania na Türkiye
�
Wikipedia
5. 2024 – Korea Aerospace University (South Korea)
PhD in Aviation Management (Honoris Causa)
Sababu:
Maendeleo ya sekta ya anga
Uboreshaji wa usafiri wa kimataifa
�
Wikipedia
6. 2024 – Mzumbe University (Tanzania)
Honorary Doctorate in Leadership
Sababu:
Uongozi wa mfano
Utawala bora na mageuzi ya maendeleo
�
The Citizen
7. 2026 – Nasarawa State University (Nigeria)
Honorary Doctor of Letters (D.Litt Honoris Causa)
Sababu:
Uongozi wa maendeleo barani Afrika
Kuimarisha nafasi ya wanawake uongozi
Ushirikiano wa kimataifa
�
Mtemwapoetry +1
8. 2026 – RUDN University (Russia)
Honorary Doctorate (Honoris Causa)
Sababu:
Diplomasia ya kimataifa
Mageuzi ya elimu
Kuimarisha mahusiano Tanzania–Russia
�
Upendo News
Ni kweli ila siku naye akiondoka nanyi mtaumia vihiyo na machawa watupu. Mbona hatujasikia Tramp mpenda sifa akipewa hizo shahada mfu?
 
Ile safari ilikuwa ni ya Kidiplomasia ya utakaso tu na kutuma ujumbe kwa wakubwa wengine kuwa
"Hata bila nyie tunaweza kuishi", N i hivyo tu basi.
Japo Russia ya Brezhnev Tanzania ilifaidika maneo mengi sana kama vile
1.Elimu na Mafunzo ya kazi
  • Misaada ya Elimu ya sekondari : tulipokea walimu wa sekondari waliofundisha vyeo na shule zetu.
  • Vifaa na Mahitaji ya Elimu: Vitabu,vifaa vya maabara, chati mbalimbali za kufundishia, na mahitaji muhimu
  • Misaada ya Ufadhili wa Masomo ya juu: Wanafunzi wa kitanzania walipata ufadhili wa kuosma Sheria,Udakitari, Uinjinia na Hata utaalamu wa sayansi na kutunukiwa vyeti,Diploma na shahada mbalimbali
2.Ushirikiano wa Uchumi na Ufundi
  • Mikataba ya Maendeleo :Nchi iliingia mikataba mbalimbali ya Ushirikiano wa uchumi na Teknolojia kama vile mambo ya jiolojia na kutusaidia kutafuta madini.
  • Kukuza kilimo:tulipata msaada wa kitaalamu kukuza kilimo cha mahindi na Pamba
  • Elimu ya Anga:Kulikuwa na makubaliano ya mafunzo na kubadilishana utaalamu
3.Ushirikiano wa Kijeshi
  • Silaha na Magari ya Kivita: Brezhnev alitoa silaha nzito nzito za kila aina kwa jeshi na magari ya kivita
  • Mafunzo ya Kimkakati:Mafunzo kwa washauri wa kijeshi na mafunzo kwa wanajeshi,pia waliimarisha ulinzi wa Nchi
4.Kusaidia Mapambano ya ukombozi kusini mwa Africa:
  • Kutoa mafunzo na silaha mstari wa Mbele: Urusi ya Brezhnev ilitoa mafunzo na silaha kwa askari waliokuwa mstari wa mbele wa vyama vya FRELIMO,ANC ,SWAPO na ZANU PF
5.Mahusiano ya juu ya Kudiplomasia:
  • Yalianza na ziara ya JKN mwaka 1969 na baadaye mwaka 1977 ilifuatiwa na ziara ya Nikolai Podgorny akiwa kama kiongozi mkuu wa urusi wakati ule(1965-1977)
Haya yote yalifanyika wakati wa JKN ambapo USSR lilikuwa dude kubwa lenye uwezo mkubwa kiuchumi.
Russia ya Putin sina imani nayo saana kwa kuwa iko chini ya vikwazo na imepungua uwezo baada ya kuanguka kwa ukomunisti na nchi kutawanyika.
Senzi na kumbaff.
 
Back
Top Bottom