Mtanzania wa kawaida akipewa kofia ya CCM na elfu tatu anamchagua mgombea wa hovyo pasipo kulinganisha hoja.Kwenye tawala za kiafrika huwa kuna ujinga mwingi sana. Na unaweza kuta huo usanii hata rais anaona ni kweli anapambana na dawa za kulevya.
Kwamba rais anaamin atakua anapambana sana kuusu madawa hahaahaah kwamba amefanya kaz nzurKwenye tawala za kiafrika huwa kuna ujinga mwingi sana. Na unaweza kuta huo usanii hata rais anaona ni kweli anapambana na dawa za kulevya.
We jamaa utakuwa kifupi kama jivi la mwisho la ugali wa wakurya wa mtama. Hupaswi kuwa mpinzani wa rais Dkt Samia, labda hujitakiMtanzania wa kawaida akipewa kofia ya CCM na elfu tatu anamchagua mgombea wa hovyo pasipo kulinganisha hoja.
Hata falsafa inayomuongoza kwenye maisha hana. Anaenda na 'beat' la matamko ya wanasiasa. Wakisema nitabadilisha maisha yenu na kuwajengea barabara wanawapata kama wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndo naowatafuta niwape mimba muwe single mazaWe jamaa utakuwa kifupi kama jivi la mwisho la ugali wa wakurya wa mtama. Hupaswi kuwa mpinzani wa rais Dkt Samia, labda hujitaki
Kwa heshima ya JF naomba nisikujibu[emoji1545]We jamaa utakuwa kifupi kama jivi la mwisho la ugali wa wakurya wa mtama. Hupaswi kuwa mpinzani wa rais Dkt Samia, labda hujitaki
Tulizs boli, ni Dkt Samia tu 2025, kama hutaki hama nchiCV lazima ijazwe jazwe😂😂
Mpeni Phd ya piliRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini.
Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA).
Rais Samia amepewa tuzo hiyo katika maadhimisho ya kitaifa ya kupiga vita matumizi na biashara ya dawa hizo duniani ambayo kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Jumapili Juni 25, 2023.View attachment 2668411
Tulizs boli, ni Dkt Samia tu 2025, kama hutaki hama nchi. tutaona
Hiyo Phd ya kupewa hajasoma popote.Tulizs boli, ni Dkt Samia tu 2025, kama hutaki hama nchi
pale mteuliwa anapotoa tuzo kwa mteuzi wake what do you expect.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini.
Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA).
Rais Samia amepewa tuzo hiyo katika maadhimisho ya kitaifa ya kupiga vita matumizi na biashara ya dawa hizo duniani ambayo kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Jumapili Juni 25, 2023.View attachment 2668411