Hii zawadi anastahili ila maelezo yawe kinyume chake. Hata yeye anajua.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini.
Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA).
Rais Samia amepewa tuzo hiyo katika maadhimisho ya kitaifa ya kupiga vita matumizi na biashara ya dawa hizo duniani ambayo kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Jumapili Juni 25, 2023.View attachment 2668411
HILI NALO MKALITIZAMETulizs boli, ni Dkt Samia tu 2025, kama hutaki hama nchi
Bongo banna, yaani unaamua, unajipa tuzo.
Kweli kajipa;lini alipiga vita madawa na wapi?[emoji38][emoji38] ati ukiamua unajipa TUZO.
[emoji38][emoji38]sisi ni kina nani mpaka tupinge![emoji28]Kweli kajipa;lini alipiga vita madawa na wapi?
[emoji38][emoji38]Kweli kajipa;lini alipiga vita madawa na wapi?
bashite si ilikuwa tuzo ya kunyang'anya watu magari na pesa, ulitaka naye apewe?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini.
Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA).
Rais Samia amepewa tuzo hiyo katika maadhimisho ya kitaifa ya kupiga vita matumizi na biashara ya dawa hizo duniani ambayo kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Jumapili Juni 25, 2023.
Sahau kuhusu hiloJamaa ataingia kwenye mfumo soon
Ni Dkt Samia, kama hutaki hama nchi.Hiyo Phd ya kupewa hajasoma popote.
Shule imemshinda ndio maana anasaini mikataba ya hovyo.
AahaaaaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini.